Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Umewasilisha research mapema bwamdogo nenda karudie tena hii naichana.Kwani wee umelala nao wangapi? Tuanzie hapo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewasilisha research mapema bwamdogo nenda karudie tena hii naichana.Kwani wee umelala nao wangapi? Tuanzie hapo kwanza
Kwani kwako wee dunia nzima inamanisha nini. Usije ukadhani jamii forums ndo dunia nzima 😁 Alaf kama wengine hawajaona hilo sio tatizo langu na hainizui mimi kusema kuwa wananuka miguu kwasababu ndo nilichokiona. Nitarudia tena na tena waarabu na wasomali niliokutana nao wote wananuka miguuDunia nzima ukweli huu uwe umeuona wewe tu, umeandika kama fact kuwa ukimuona mwarabu au msomali shurti anuke miguu hiyo sio sawa
Mapema? According to who or according to what mpaka unasema mapema? Alaf Sikumbuki kama kuna sehem nimesema hii ni research 🙄 btw karibu kwenye account yako nyingine hahaUmewasilisha research mapema bwamdogo nenda karudie tena hii naichana.
Basi sawa.Nimekukamata pabaya unabaki una blah blah tu [emoji16] jibu mbona unalo hapo juu au unazuga. Kwani wewe unalalaga na wanaume wezako? Au unataka jibu gani kilaza wewe? Kama huelewi Kiswahili njoo nikupe kozi ya Kiswahili hata ya dakika 5 itakusaidia [emoji16]
"uarabuni" ndio wapi?Asa kati ya mimi na wewe nani ana ndoto za alinacha 🙃 unajifanya sijui muarabu sijui msomali wa Tanzania alafu mkienda kwa waarabu wenyewe uarabuni au Somalia wanawakataa wanawaona wa kuja. Kwaiyo unasema mnuka kikwapa amekutana na mnuka miguu & K 🙈😁 Super 👍
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali, wamarekani, wacanada, wakenya, na wa hindi. Ila katika wote hao hakuna aliwahi kunuka miguu kama wasichana wa kiarabu na kisomali. Hawa watu wananuka miguu. Akiwa room unatamani asivue viatu mana akivua tu hali ya hewa inaharibika. Alaf wenyewe sijui hua hawasikii hii harufu, wanakua hawana habari ata kidogo.
Asa sijui kwanini wananukaga miguu. Kuna siku nilimwabia mmoja wao miguu yako inanuka akazuga ati ata sio yangu ni ya fulani wakat kila mtu anafahamu kama yeye ndo ananuka miguu. Kwa ufupi wanakuaga sio wachafu ila wananuka sana miguu. Ni vigumu sana kuvumilia kuishi nao room moja...✍️
Anza kutoa wewe kwanza funza waliokua kichwani kwako ili uwe unaelewa unachokisoma sio unakurupuka. Na kama na wewe unanukaga miguu jitahidi isinuke unawapa watu tabuBasi sawa.
Ila toa hzo funza kichwani. Ukute wewe ndio unanuka.
Uarabuni ni kule waarabu na wasomali wa Africa mashariki hasa Tanzania huwa wanaenda kuwafulia waarabu wa asili chupi zao na kuwasaidia kazi za ndani."uarabuni" ndio wapi?
Wanavaa raba ndio. Wote tunavaa raba lakini mbona hatunuki 🙄Uenda wanavaa raba.
Binafsi sipendi kuvaa raba nikivua hapo hamkai Mimi navaa sandroz tu
Asante kwa maelezo yako. Haya maelezo yatawasaidia wanuka miguu kujua tatizo linaanzia wapi ili wapate rekebishaHii inasababishwa na miguu ya watu inayotoka jasho sana na hapo hapo kuvaa viatu na soksi kwa muda mrefu, mfano zaidi ya siku3 nk, bila kubadilisha au kuvifanyia usafi mara baada ya kuvaa--- hali hiyo inatengeneza fungus ndani ya viatu na hivyo kusababisha hasa viatu (na sio hasa miguu) kutoa harufu mbaya unapovua.
Hali hiyo ni kwa baadhi ya watu.
Wanavaa raba ndio. Wote tunavaa raba lakini mbona hatunuki [emoji849]
Sasa kama ni ugonjwa si waende wakatibiwe ili wasiwape watu tabuNilishawahi date na watoto kadhaa, waarabu na muhindi mmoja ila sijawahi kukutana na hii kadhia, huenda hao uliokutana nao wana ugonjwa huo km baadhi yetu Watanzania
Hizo ndio karaha za wanadamu,ila nahisi wenye kaugonjwa kale hawajisikii, kuna anko wangu, ye anavua raba mtoni zake, anakula bila tabu, lazi mnayo nyinyi wa pembeni.Sasa kama ni ugonjwa si waende wakatibiwe ili wasiwape watu tabu
Mimi binafsi nisipokua makini hata open zinatoa jasho zitanuka tuNaendelea kusoma comments za wasomari na waarabu[emoji4]
Na sio mwarabu wala msomari ila ni jamii za wa habesh .Sioni ajabuMimi binafsi nisipokua makini hata open zinatoa jasho zitanuka tu
PoleMimi binafsi nisipokua makini hata open zinatoa jasho zitanuka tu