Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

Ili kuhitimisha hivyo, ingelazimu uwe umekutana nao katika mazingira tofauti tofauti na wote wanasifa hiyohiyo.

Hapa umetaja ulioishinao chumba kimoja, je vipi ulisikia malamiko kama hayo kwa wengine pia.

Na basi walau hata humu walau mtu mmoja au wawili wangethibisha hilo, maana watu wanaishi na hao waarabu na wasomali lakini hawasikii hiyo miguu kunuka.
 
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉

Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali, wamarekani, wacanada, wakenya, na wa hindi. Ila katika wote hao hakuna aliwahi kunuka miguu kama wasichana wa kiarabu na kisomali. Hawa watu wananuka miguu. Akiwa room unatamani asivue viatu mana akivua tu hali ya hewa inaharibika. Alaf wenyewe sijui hua hawasikii hii harufu, wanakua hawana habari ata kidogo.

Asa sijui kwanini wananukaga miguu. Kuna siku nilimwabia mmoja wao miguu yako inanuka akazuga ati ata sio yangu ni ya fulani wakat kila mtu anafahamu kama yeye ndo ananuka miguu. Kwa ufupi wanakuaga sio wachafu ila wananuka sana miguu. Ni vigumu sana kuvumilia kuishi nao room moja...✍️
Dah! Bibie; Labda ungepunguza makali ya Uzi wako e.g. ungelisema au kuuliza: Ni nini sababu ya miguu kunuka? Walao imekaa kipole zaidi i.e. Uzi wako kwa mtazamo wangu naona kama umekuwa ni wa kuwanyanyapaa(Stigmatize ) mno Jamii ulizozitaja. Mbona hata baadhi ya wale Waswahili (Me na Ke) hilo lipo? Why pinpoint Arabs and Somalis?
 
Back
Top Bottom