Wanaume wao pia ni wapole,ila wanapenda sana kuchapa nje ya ndoa
jamani hao Wanyaru mnaowasifia sio hao mimi npo Rwanda ninayajuan zaidi sifa walizonazo kwanza'maji' pili hawajui kumyima mtu ni wewe kuzoza tu, pia hawana wivu mtu na dad yake rukhsa uwezo wako tu ila ni wapole sana ingawa wameanza kubadilika kulingana na muingiliano na mataifa mengine kama wabongo na mambo ya 'Tigo"
Namaanisha wanapoplay role ya mme.Duh hapa unatufunga kamba kama wangekuwa wapole wangechinjana kama kuku ?.
Any details kuhusu watu hawa.Please help,am dead of clarification.