Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria.

Hayo yamesemwa na Afisa Mwandamizi wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu,Naibu Kamishna wa Jeshi la Magereza, Ahmad Mwendadi wakati wa Semina ya Kupambana na Biashara hiyo iliyotolewa kwa Wawakilishi wa Viongozi wa Mashirika yaliyopo chini ya Umoja wa Wamama Wakuu wa Kanisa Katoliki kutoka mashirika ya Kitawa huku washiriki hao wakiweka wazi umuhimu wa semina hizo katika kupambana na biashara hiyo.
WhatsApp Image 2024-10-17 at 14.32.16_6ec11fb3.jpg

WhatsApp Image 2024-10-17 at 14.32.15_b68f2d87.jpg

WhatsApp Image 2024-10-17 at 14.32.15_b7bb3e4a.jpg

Pia soma:
~ Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania
~ Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-10-17 at 14.32.15_b68f2d87.jpg
    WhatsApp Image 2024-10-17 at 14.32.15_b68f2d87.jpg
    249.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom