Wasichana wa mkoani acheni hizo bwana

Wasichana wa mkoani acheni hizo bwana

Hivi mkoani basically unaongelea Yaaaan mikoa yote kasoro Dar hebu nieleweshe kwanza baada ya kujua nadhani ntakuwa na jibu
 
Hahaha wanawake wa mikoani ni kama vile nusu jike nusu dume dah...samahani lakini(in soudy brown's voice)[emoji124]
 
Last week nilikua kule wanapaita jiji la Mwanza kwa takriban two weeks...

Yaan wanawake wa kule (hapo cjataka kuzungumzia wanaume wao) ni WASHAMBA KISHENZ....

Next week najiandaa kudondoka ARACHUGA.
Nikaone na ushamba wa watu wa huko.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
KWELI DAR WAJANJA SANA,MAANA HUYU NAE KAOKOTWA DAR JUZI,AMEANGUKA,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1476886844509.jpg
 
Last week nilikua kule wanapaita jiji la Mwanza kwa takriban two weeks...

Yaan wanawake wa kule (hapo cjataka kuzungumzia wanaume wao) ni WASHAMBA KISHENZ....

Next week najiandaa kudondoka ARACHUGA.
Nikaone na ushamba wa watu wa huko.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
karibu ila ujipange maana huku vilege vilege havihitajiki utakufa bureeeee,pia kumbuka huku jiji la watii hivyi kindegereko kiishie njia panda ya himo,pia tambua huku wadada wanafanya kazi na siyo kupiga umbeya hivyo ukileta kidomo domo utaishia kula judo na taekwondo ama karate za shingo,pia usisahau chuga juna warembo hivyo pitia saloon kwanza.
 
Back
Top Bottom