God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuliwi tigo sisivipi nyie waliwa tiGO
wapi nyie maringo kibao kumbe hamna kitu zaid ya uvivu tuu na kupaka rangi halafu huko nyuma kunakodoaHatuliwi tigo sisi
KWELI DAR WAJANJA SANA,MAANA HUYU NAE KAOKOTWA DAR JUZI,AMEANGUKA,[emoji23] [emoji23] [emoji23]Last week nilikua kule wanapaita jiji la Mwanza kwa takriban two weeks...
Yaan wanawake wa kule (hapo cjataka kuzungumzia wanaume wao) ni WASHAMBA KISHENZ....
Next week najiandaa kudondoka ARACHUGA.
Nikaone na ushamba wa watu wa huko.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kodo.halafu huko nyuma kunakodoa
karibu ila ujipange maana huku vilege vilege havihitajiki utakufa bureeeee,pia kumbuka huku jiji la watii hivyi kindegereko kiishie njia panda ya himo,pia tambua huku wadada wanafanya kazi na siyo kupiga umbeya hivyo ukileta kidomo domo utaishia kula judo na taekwondo ama karate za shingo,pia usisahau chuga juna warembo hivyo pitia saloon kwanza.Last week nilikua kule wanapaita jiji la Mwanza kwa takriban two weeks...
Yaan wanawake wa kule (hapo cjataka kuzungumzia wanaume wao) ni WASHAMBA KISHENZ....
Next week najiandaa kudondoka ARACHUGA.
Nikaone na ushamba wa watu wa huko.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kuna achamaKodo.