Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
wewe ndo unashindwa to learn to agree to disagree..
na umeingiza maneno yasiyo husu kabisa mara crap...mara hivi..
mimi nimestick na nilichozungumza......
nimesema hakuna faida kwa mtu kusoma kwa kujiuza...hiko unachokiona wewe ni faida kwangu sio faida...
wewe hutaki unataka nikubaliane na wewe kuna faida kwa mtu kujiuza as long as ni muhimu kwake...
na ukipingwa unaita crap....really??????
TB, wanasemaga don't keep skeletons in ur closet coz they will haunt you till they find you. Sasa ukitoa ngono ufaulu mtihani (sadly hata std 7 siku hizi...anawekeza mzazi mtoto anamalizia chuo kwa kyupi), interview za kazi inabidi ufanye hivyo, performance review nayo na kupanda vyeo. Sasa ukitaka kuhama kazi ili upate rapid growth cycle inaanza. Hamna kupona aisee, kha!
What a bunch of c. . r. . .a. . .p. . .
I'm out!!
so baadae Jibibi?Boss kama kukueleza tofauti na kile unachotaka ni kukulazimisha ukubaliane nae basi you have issues. . .get 'em sorted!!
Na ndiyo maana Tanzania ni full ubabaishaji kwenye kila sekta.
Kweli kabisa,
Hili tatizo haliwezi kuangaliwa kwa wadada tu....Sasa hivi karibia kila mtu anaenda kwa mwendo wa mission town!!
Hii nchi ilishaisha....Sina hakika tunahitaji gharama kiasi gani kuirudisha kwenye mstari....
Babu DC!!
i thought jimama was a certain lizzy i that know??
i might have been wrong....... based on the above outburst that's!
Boss kama kukueleza tofauti na kile unachotaka ni kukulazimisha ukubaliane nae basi you have issues. . .get 'em sorted!!
Kwa kweli ni rahisi kwako wewe kusema hivo ukikaa nyuma ya computer yako (or is it a tablet? lol)nakuelewa Mwali but utaona nazungumzia zaidi mtazamo wa jamii
nimetoa mfano wa mama wa kihindi aliekubali kuwa its okay police kumua mwanae ili mradi ni mwizi
je wewe huoni its okay kufelishwa na kurudi nyumbani kuliko kutembea na mwalimu?
huoni its okay kushindwa kuendelea na shule kwa kushindwa kulipa ada kuliko kujiuza?
Kwa kweli ni rahisi kwako wewe kusema hivo ukikaa nyuma ya computer yako (or is it a tablet? lol)
Hata wenyewe wanajua ni kosa ila sasa morals won't put food on the table. Kama tunataka kuwasaidia kuacha turekebishe system nzima. Sio kuwachukua wenyewe.
Kuna msemo wa kighana unasema ukiamua kumshahuri paka aache kuwaua panya, basi kumbuka kuwashahuri panya pia waache kumchokoza paka.
Kosa sio la hao dada tu. Ukiona anajiuza maana yake market ipo, na market ni sellers AND buyers.

Kaaaazi kweli kweli.wewe you are funny
watu woote humu wanakubalina na ninachoongea
now wewe kwa kuwa umepinga 'i have issues'?
really?
wewe ndo una issues aisee....sijakwambia ukabaliane na mimi
mimi nimesema nakupinga hizo pointi zako
tena sio mimi tu na wengine wamekupinga waziwazi...
Zipo, sibishi, ila huo utaratibu wa the ends justify the means haujaundwa na wadada tu.Mwali zipo familia ambazo watu sio masikini
unakuta ni matajiri kabisa but
wananunua vyeti na kuhonga ngono....so issue hapa wala sio food on the table...
issue ni mtazamo wa 'the end justify the means...'
kukubalika kama ndo kawaida...
Kwa kweli ni rahisi kwako wewe kusema hivo ukikaa nyuma ya computer yako (or is it a tablet? lol)
Hata wenyewe wanajua ni kosa ila sasa morals won't put food on the table. Kama tunataka kuwasaidia kuacha turekebishe system nzima. Sio kuwachukua wenyewe.
Kuna msemo wa kighana unasema ukiamua kumshahuri paka aache kuwaua panya, basi kumbuka kuwashahuri panya pia waache kumchokoza paka.
Kosa sio la hao dada tu. Ukiona anajiuza maana yake market ipo, na market ni sellers AND buyers.
rise above hate.............
Zipo, sibishi, ila huo utaratibu wa the ends justify the means haujaundwa na wadada tu.
Ninacho sema hapa ni kua it is a system.
Sasa kama wewe umeamua kupinga system ya "the ends justify the means"
ambapo ends ni kupata vyeti na means ni rushwa ya ngono,
basi usianzishe kwa kuwasema wasichana tu.
Kosa limeanza huyo dada akiwa bado tumboni kwa mama yake.
She is just a player in the game, change the rules of the game!
Tatizo la mahusiano kati ya wahadhiri na wanafunzi wa kike ni la muda mrefu sana kiasi kwamba limegeuka kuwa jambo la kawaida sana siku izi vyuoni..
Kuna jamaa yangu ni mhadhiri juzi juzi hapa tukiwa kwenye kikao cha wikend alikuwa na kibinti flan,akawa anatudokeza kontena jipya limetema,yani yeye kila likiingia kontena jipya basi anaakikisha kazoa ata kumi...
Sasa hapa tujiulize chanzo cha yote ni nini na kwa nini??...
Chanzo hapa ni wasichana wenyewe na tamaa zao,nasema ni tamaa zao sababu wengine wanatoka familia zenye uwezo na bado wanajilengesha kwa wakufunzi..msichana anatamani maisha mazuri,anadhani kupata hayo maisha ni mpaka awe na kazi nzuri...anadhani kupata kazi nzuri ni mpaka uwe na G.p.a kubwa so ili kupata marks nzuri kwa mtelemko anaanza kujigonga mpaka anatembea na mwalimu wake....akimaliza college anagundua g.p.a yake haimsaidii sasa anaanza kujigonga kwa waajiri anachapwa nao...akiwa kazini anagundua perfomance yake haiwezi kumpa promotion anarudi kwenye shotkat ileile ya kulobby promo kwa ngono hapa anategesha tena mashine watu wanabandua...
Kwaio ukitazama mzunguko wote huu ni tamaa,ambayo kwa wengi inasababishwa na tabia na hulka ya mtu tu..
Cha muimu hapa ni kina dada kubadilika na kujiamini,wasipende vya mtelemko..ebu jiulize watu wanakuja kukupongeza kwenye mahafali,wako na maua na mashada mpaka na matalumbeta wakiamini familia na taifa limeongeza mtaalamu ila ndani ya nafsi yako unajua wazi bila ya kuvua bikini na kulala na kibabu pengine ungeishia njiani..