Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

Status
Not open for further replies.
Jina lako linaonyesha ww ni mtu wa aina gani humu JF. JK ni sawa na baba yako hivyo huna budi kumuheshimu. Au kukupeni uhuru wa kuandika na kusema mtakayo humu JF imekuwa nongwa mpaka ufikie hatua ya kumtukana? Una ushahidi gani kuthibitisha hayo unayoyasema juu yake? Heshima ni kitu cha bure.

...mkuu mbona umehamaki kama umekalia toothpick,ki msingi huu ndo utandawazi na uhuru wa habari na mawazo,nenda kaangalie obama anavyofanywa na wamarekani. Pili dogo kasema ikulu hajataja jk,ikulu kuna lundo la watu kuanzia walinzi,wafanyakazi wa ikulu,kwa pinda. So kwanini umemuwaza jk..? au ulikuwa unasisitiza kitu a.k.a ukweli,em funguka....
 
anasoma degree ya taxation mwaka wa kwanza........so alinisimulia wanavyoojiuza club mbalimbali na wateja wao wakubwa ni waarabu na wazungu.....kwani ndo wanaopenda sana kwani sio wabahili
ww ni muarab au mzungu mbona ulimpata?
 
mkuu wakubali wakatae huo ndio ukweli umesema ila sio wote bali ni wale wenye tamaa na pia umasikini nalo ni tatizo japo hio biashara hawaifanyii ambiance club ni popote...juzi nilikua na mmoja hapa ghetto
 
mkuu ungesema hivi;
wasichana wa ustawi na udsm wanajiuza ambiance,cbe na ifm wanajiuza bill's na break point.wale wa uhasibu kurasini na tumaini kurasini na duce wanajiuza club masai kurasini.mia

Kabisa mdau
 
aisee kwani wanaume boom likiwaishia na wasiopata mkopo wanapataje ela?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom