wasichana wanabore sana

Ni kweli Fidel,
ila nilitaka nisikie kauli yao!!!!
ngoja nisubiri!!!!!

Haya lakini najua hapo pagumu kujibu mwingine atasema anapenda mwenye ndevu nyingi mwingine mwenye busha
 
hivi tatiana,
hata mb......o nzuri huwa mnajua zina test gani ati?
Naomba uzoefu wako mama!!!!!

for me mb..o nzuri ni ile ambayo inadumu muda mrefu bila kusinia,yenye joto,ukishika unaifeel,maziwa yake hayana harufu na mwenye nayo anajua kuitumia
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.

Usiogope mkubwa ndo uanaume huo " Kula uliwe" kwa hiyo mpe ale naye akakupe ule
 
for me mb..o nzuri ni ile ambayo inadumu muda mrefu bila kusinia,yenye joto,ukishika unaifeel,maziwa yake hayana harufu na mwenye nayo anajua kuitumia

Hahahahaaha simika mzizi baby,
Kwani nazo huwa zinatoa harufu au zinanuka?
 
Hahahaha Painkiller sijui bana, kuna majina mengine ni vigumu kujua ni shori au njemba lazima uanze kwa kuuliza wewe ni She au He
ngoja nimtesti painkiller.......afu kuna yule shori admin wa jf aitwa farida lol....hajibu PM kabisaaa...nilimuomba urafiki wa kalamu hakujibu...
 
for me mb..o nzuri ni ile ambayo inadumu muda mrefu bila kusinia,yenye joto,ukishika unaifeel,maziwa yake hayana harufu na mwenye nayo anajua kuitumia

unaona Fidel,
nilisema tusubiri majibu hapa tuone!!!!!!!!
haya na wewe Michelle, unasemaje kuhusu hili?
 
Ha ha ha ha ha ha,pale mzoefu anapoomba uzoefu,kazi kweli kweli..................
Kwa jinsi ulivyomuomba Tati,i can imagine ukiwa unaomba K inakuwaje??
In short unanifurahishaga sana Bacha..................:smile-big:

hata mimi michelle,
huwa unanifurahishaga mwayego!
I like yooooo!!!!!!!
 
unaona Fidel,
nilisema tusubiri majibu hapa tuone!!!!!!!!
haya na wewe Michelle, unasemaje kuhusu hili?

Nimeona mpwa ukibahatika inabidi unapiga valuu standard
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.

Ukijishaua sana ndiyo wanawake tunavyofanya.Tena hupendwi hapo ni gia ya kukuambia 'leave me alone
 
lakini kwanini mnalalamika sasa we unataka mtelemko tu kwani hujui ameingia gharama kujiremba ile ni tax au hiace ipo barabarani kuna vibajaj pia bodaboda na hata baiskeli hivyo angalia kwaani umemfuata kwao ni lazima aanze na invoice a redeem cost zake za mwanzo ili atafute level sawa bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…