Wasichana wananikimbia kwa sababu ya bao 6 na kuendelea!

Wasichana wananikimbia kwa sababu ya bao 6 na kuendelea!

Kaka mimi nije kitofauti kidogo kwa kukusifia HONGERA mkuu,usishangae watu wengi kukupondea kwa sababu hiyo power tunayo wachache ni extra-ordinary,na kingine hili ni tangazoo..sasa hujalipia,so watu hate it!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
uzuri wa jf matangazo huwa hayalipiwi ni bidii yako tu kujitangaza na ku-top up bundle ya kutosha.
 
Wakuu habari,
Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22 sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya bao la kwanza yanayofuata huwa nachelewa sana kukojoa at least dakika 20, na kwa bahat mbaya juzi nimekimbiwa na mpenzi wangu ambae ni wa 3 na kunimbia kua hajzoea bao zote hizo,sasa wanajamvi hili ni tatizo na je,linatibika? Msaada jamani naumbuka kijana mwenzenu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Excessive Sex haikusaidii zaidi ya kukumaliza nguvu zako utakapokuwa mtu mzima. usidhani wasichana wanafurahia kukojolewa mara sita au saba, suala ni vipi ww unawaridhisha na wao katika mapenzi. Au unajifurahisha wewe tu kwa kukojoa kojoa ovyo ovyo?
Badilika kitabia: Kupiga bao nyingi sio sifa, mapenzi lazima yabalance kila mmoja afaidi. Hao mademu zako wakipata mabingwa wa kukuna sehemu muhimu watakuwa wanakukimbia kila siku hata kama huko waendako wanapata bao moja tu la kiufundi.:smash:
 
Hivi mpaka leo bado kuna watu wanatafuta wanawake kwa staili hii?!! ( Staili ya mwaka 2001 hii). U know what? huyu jamaa hana lolote. Amefanya uchunguzi amegundua kuwa wanawake wengi hawafurahii tendo la ndoa kwa sababu wanaume zao hawana nguvu za kutosha na wanamaliza haraka. So ameleta uzi huu hapa JF ili wanawake wenye shida hiyo wam PM. Acha upumbavu wewe! hizi stori za kikhanithi zipeleke kwa ma kuchu wenzako. Umeshtukiwa, we hujajistukia tu? Nyambaff
mkuu



mkuu fikra zako ni pevu lakin hazitoshi bado kunisaidia mimi sio mtafuta madem kama wewe ila hili ni tatizo na nafaham kua naweza kupata msaada hata wa mawazo so please wacha mambo ya kise..........la!
 
mkuu



mkuu fikra zako ni pevu lakin hazitoshi bado kunisaidia mimi sio mtafuta madem kama wewe ila hili ni tatizo na nafaham kua naweza kupata msaada hata wa mawazo so please wacha mambo ya kise..........la!

Ukweli unauma,sasa apa unataka ushauri gani??,hat kama ungeanza mapenzi jana huwezi kusema unafanya hivyo kwa kuwa miaka ya nyuma ulikuwa hufanyi,huu ni uvivu wa kufikiri sana,humu hamna watoto wenzio,na hata kama hilo kwako ni tatizo ba si liko ndani ya uwezo wako,pia inategemea ilo bao sita unapigaje,sasa kama unatomban kama ng'ombe kwa nini wasikimbie??,majibu yote unayo wewe,apa unajaribu kutu brain wash
 
Back
Top Bottom