Wakuu habari,
Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22 sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya bao la kwanza yanayofuata huwa nachelewa sana kukojoa at least dakika 20, na kwa bahat mbaya juzi nimekimbiwa na mpenzi wangu ambae ni wa 3 na kunimbia kua hajzoea bao zote hizo,sasa wanajamvi hili ni tatizo na je,linatibika? Msaada jamani naumbuka kijana mwenzenu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama hujamwelewa vyema ni kuwa dogo yuko kwenye biashara ya matangazo.
mkuuHivi mpaka leo bado kuna watu wanatafuta wanawake kwa staili hii?!! ( Staili ya mwaka 2001 hii). U know what? huyu jamaa hana lolote. Amefanya uchunguzi amegundua kuwa wanawake wengi hawafurahii tendo la ndoa kwa sababu wanaume zao hawana nguvu za kutosha na wanamaliza haraka. So ameleta uzi huu hapa JF ili wanawake wenye shida hiyo wam PM. Acha upumbavu wewe! hizi stori za kikhanithi zipeleke kwa ma kuchu wenzako. Umeshtukiwa, we hujajistukia tu? Nyambaff
mkuu
mkuu fikra zako ni pevu lakin hazitoshi bado kunisaidia mimi sio mtafuta madem kama wewe ila hili ni tatizo na nafaham kua naweza kupata msaada hata wa mawazo so please wacha mambo ya kise..........la!