BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Siku moja nenda nae then mwache aagize vya bei juu bila kuuliza na ukipata nafasi unaondoka na kumuachia kazi ya kulipa,nadhani atajifunza kutaka kunywa vya bei ya juu kupitia migingo ya watuHivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Sasa si wewe ni buzi.
Mi nikitoka na demu simpi nafasi ya kuagiza mipombe yake, namwambia hebu leo onja valuer
It seems you are under eighteen.
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

tabia yako ya kuanzisha thread,
kisha unabaki unachungulia tu,
mi sipendi bana,
siku nyingine ntakuibukia nikutwange makwenzi!!!!!
Basi shetani. Siku nyingine siagizi tena amarula, nitaagiza chai.
Chai za Steers bei yake usipime! Bora mkitoka out muwe mnaenda kwa Vibanda vya Mama Lishe au kwenye klabu za Komoni na Mbege
Ingawa mlio wengi mmepinga mtoa hoja,, ukweli unabaki palepale kwamba akina dada wengi wataagiza vinywaji vya gharama.. wakati wakitoa fedha mifukoni mwao hawavigizi vinywaji hivyo vya gharama. kwa kweli inakuwa vigumu sana kumwambia mtu usivywe hiki au kile, so it remains for an individual person ku-deal na case...
napenda hii avatar yako CPU!,
Nina wasiwasi kama rose wangu ataliweza hilo pozi!!!
napenda hii avatar yako CPU!,
Nina wasiwasi kama rose wangu ataliweza hilo pozi!!!