Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Tatizo lako ujui dawa yao. Supu ya pweza na ule mzizi wa porini. Siku ukimtoa out tena, atakuuliza Dear Ninywe nini leo. Mwambie maji ya Uhai.