Wasichana wanaopenda kunywa vinywaji vya bei ghaliii

Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Tatizo lako ujui dawa yao. Supu ya pweza na ule mzizi wa porini. Siku ukimtoa out tena, atakuuliza Dear Ninywe nini leo. Mwambie maji ya Uhai.
 
Huyu mtoa mada bwana amenifurahisha sana leo tangu asubuhi yeye na kuchunwa sijui kachunwa halafu kanyiwa ile kitu watu hulala wawili bila kuvaa nguo?? Maana analalamika huyu!!! Pole mwaya lakini na wewe utamtoaje mtu out halafu huna mkwanja wa kutosha?? Unaenda out una 10,000 unategemea nini???
 
Kwanza Rose mwenyewe unamsimamia mazoezi ya viungo?? Au unamlisha tu?? Unampa kila kitu anachotaka??

ila mkuu tuache na utani hiyo avatar yako kiboko! LOL...:smile-big:
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Achana na hao mademu wa mboga saba utafulia mkuu.
 
Hapo bado chipsi kuku hujaombwa ununue alafu anakula kwa kuparua parua anaacha kama robo 3 hivi

Baadae tena anasema njaa inauma anaagiza mchemsho wa samaki nao anadonoa donoa
 
ila mkuu tuache na utani hiyo avatar yako kiboko! LOL...:smile-big:

Daaah! Naona inakuzingua kinoma baba, kajaribu na wife hiyo staili uone atakavyokun'gan'gania umuongeze dozi
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
We acha tu.....:love::love::love:
 
Daaah! Naona inakuzingua kinoma baba, kajaribu na wife hiyo staili uone atakavyokun'gan'gania umuongeze dozi
fikiria unakumbatiwa hivo deile...ukirudi home uko bwaksi:frog::frog:
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Umeshasema DEMU....ukitafuta mwanamke au msichana na sio masista du wa mjini wala hutokumbana na adha za aina hiyo.
 
Hao ni Cancer ya maendeleo; mimi ninaowajua ni marafiki zangu..... hakuna ubaguzi what I have we share what she have we share..... Tena wenzetu huko ughaibuni mnapeana zamu kuchukua bills......
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Kumbe yamekukuta kichaa wangu,mi juzi kati nilienda San Ciiro nikakutana na wadada wawili tulisoma nao walikuwa wanakunywa soda, tukasalimiana nikakaa meza ya tatu na kumtuma waiter akawape vinywaji wakaagiza wine chupa na Savanna 4 jumla karibu elfu 40 nikashangaa hawa sijakuja nao nimefanya ustaarabu tu na walikuwa wanakunywa soda imekuwaje ?
 
hao walikuwa kibiashara zaidi na huwa wako sehemu kama hizo kusubiri mtu ajingonge kwao!

demu wako wa kutoka naye home kama huwa humdanganyi na anajua kipato chako hawezi agiza vya juu bana!! ila kama unajigamba unazo.....!
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

gongo
 
Hawa ni wanawake wenye kazi zao nzuri tu,nilikuja na rafiki yangu wa kike.
 
Hivyo ndio vinywaji vya bei mbaya?
 
Hawa ni wanawake wenye kazi zao nzuri tu,nilikuja na rafiki yangu wa kike.
duh! pole sana, wanaweza wakawa na kazi zao lkn matumizi yao kwenye mavazi, vipodozi na vitu vingine yakawa juu so hela ya kukunua sijui martin, st anne, belgium nk nk nk hazipo, so mtu akijingonga tuu...... ndio yanakuwa hayo
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Jamani umeniamsha uwii, sasa ulitaka wanywe mbege au kibuku? Kama unajijua unavijipesa vya mawazo kilichokufanya utoke nao ha haaa wamekukomesha angalia usijeacha cm kaunta ha haaa.
 
Lakini hii notion ya kwamba mwanaume ndio inabidi atoe offer imepitwa na wakati, watu ni kusaidiana na mtu akikupa offer sio kwamba unamkomoa ni ustaarabu tu..., kwahiyo kama unapenda wines etc sawa ila na wewe siku ukijisikia sio vibaya ukilipa fadhila... Hii notion ilikuwepo kipindi kile kina dada ni mama wa nyumbani, lakini sasa wote tunafanya kazi na wote tunalipwa, therefore we can all give offers
 
Sio kinywaji tu hata misosi, nikiwa TBR nilipata girl from uhazili nikampa ofa ya lunch kaja na wenzake 2, haya msoc wakaagiza mwingi mbaya ukawashinda maliza. Sasa sijui ndo kunikomoa au.
 
Back
Top Bottom