Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

kweli kabisa baadhi ya wanawake wanapenda ankara sana ushauri wangu tafuta wa aina yako hao waachie wenyenazo au kama unampenda sana jaribu kumuelesha juu ya hali yako halisi
Kumuelewesha hali halisi kutabadilisha nini? Mwanamke mdangaji ukikiri huna pesa ndio atakuona mpuuzi zaidi bora ule kona kimya kimya 🤩🤩🤩
 
Madesheee wenyewe kimya hawana makuu hata hawajioneshi
Ila hawa wenye hela za sigara na wengine wategemea boom kelele nyingi kama wale wadudu wanaotoboa mbao
We shenzi una diss za ajabu 🤩🤩🤩 nimecheka sana kila nikitafakari yule nyuki mkubwa anaetoboa mbao nacheka tena maana alikuwa anakera nyumba nzima 😝😝😝😝😝
 
Sio soln..huyu anapigwa chini...baadaye yeye mwenyewe atajirekebisha..atakapoona age imesogea...tusikubali uozo huu uendee ati kisa wanamiriki papuchi..if men change...women will change too.
Nyie ndio mnawapa vichwa hawa below 25! Mwanamke akijifanya anajua hela sana ni mkasi tu unamuhusu! Piga chini nyamauzembe hio
 
Back
Top Bottom