Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Leo nilikuwa nimeenda kumnunulia mtoto wa kike nguo za ndani, mwanangu huyu ana miaka saba yuko la pili kwa sasa.

Lakini cha ajabu kila duka ambalo nilikuwa naenda nilikuwa sikuti hizi chupi za watoto, nilitembea maduka mengi sana.

Nikitembea maduka zaidi ya kumi na tano

Nikaenda duka moja napo nikakosa kitu kilichofanya nimuulize huyu muuza duka kwanini chupi za watoto kwa sasa zimekuwa adimu sana, jamaa bila kupepesa macho akanambia unajua nini kaka hawa wasichana wembamba ndo wanamaliza hizi chupi za watoto wadogo yaani wao ndo huvaa chupi za watoto

Nilibaki hoi sana aisee!

Wasichana wembamba acheni kumaliza chupi za watoto jamani.

LONDON BABY
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu

Leo nilikuwa nimeenda kumununulia mtoto wa kike nguo za ndan, mwanangu huyu ana miaka saba yuko la pili kwa sasa

Lakin cha ajabu kila duka ambalo nilikuwa naenda nilikuwa sikuti hiz chupi za watoto, nilitembea maduka mengi sana

Nikitembea maduka zaid ya kumi na tano

Nikaenda duka moja napo nikakosa kitu kilichofanya nimuulize huyu muuza duka kwanini chupi za watoto kwa sasa zimekuwa adimu sana, jamaa bila kupepesa macho akanambia unajua nini kaka hawa mademu wembamba ndo wanamaliza hiz chup za watoto wadogo yaan wao ndo huvaa chupi za watoto

Nilibaki hoi sana aisee

Mademu wembamba achen kumaliza chupi za watoto jaman

LONDON BABY
Mhhh aya makubwa sasa
Aisee kazi tunayo!
 
mbona mnatoa siri za Wateja ?
 
Back
Top Bottom