Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Leo nilikuwa nimeenda kumnunulia mtoto wa kike nguo za ndani, mwanangu huyu ana miaka saba yuko la pili kwa sasa.
Lakini cha ajabu kila duka ambalo nilikuwa naenda nilikuwa sikuti hizi chupi za watoto, nilitembea maduka mengi sana.
Nikitembea maduka zaidi ya kumi na tano
Nikaenda duka moja napo nikakosa kitu kilichofanya nimuulize huyu muuza duka kwanini chupi za watoto kwa sasa zimekuwa adimu sana, jamaa bila kupepesa macho akanambia unajua nini kaka hawa wasichana wembamba ndo wanamaliza hizi chupi za watoto wadogo yaani wao ndo huvaa chupi za watoto
Nilibaki hoi sana aisee!
Wasichana wembamba acheni kumaliza chupi za watoto jamani.
LONDON BABY