Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Wasichana wembamba ndio wanaomaliza chupi za watoto madukani

Si unaona sasa lengo lao ni kunikomoa tu bas

Hebu niambie ukwel hakuna anayekufukuzia kweli maana naona kama kuna mtu kashika mpin then mimi nimeshika makali


haahahha my ribs naingia kwa nadra sana humu !leo atleast nimekaa kaa !kuwa na aman aisee
 
Victoria secret ndo nini et ?? Maana nilikua na mpango wakumoelekea zawadi demu wangu wa chupi.. Hiyo ni shingap???
Nisije na mm nikampelekea hizo za watoto zinazoisha dukani
Hahahaaaa chunga sana

Umefanya jambo jema kuuliza usije ukaingia cha kike
 
Mkuu umepigwa kibuti na dem mwembamba nn. Pole na kifungo naona umerudi kwenye ID yako inayojulikana.
 
Back
Top Bottom