wasichana wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawaolewi

wasichana wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawaolewi

Sizitaki mbichi hizi, kapige punyeto dogo kama umeshindwa kuwapata dada zetu wenye Bachelors, kwa kifupi ilichoandika ni uongo

punyeto tena hapo sasa unataka nikupe fact katika utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Havard kitengo cha medicine 99% ya wanaume wanafanya punyeto (musturbation) na 89 % ya wasichana hufanya punyeto sasa wewe utapona kweli .
 
Hatukatai ni tafiti nzuri, ila kwanza naomba nikuambie hakuna watoto wasio na baba kila mtoto ana baba, usemi kwamba wanapewa mimba zisizo na baba sio sahihi.
Kuhusu utafiti wako kwanza nakupongeza sana kwani sababu ulizozitoa ni baadhi ya sababu zinazoweza kuwa sehemu ya jambo hilo, ila umekuwa bias mkuu kwani jambo hilo hata wanaume pia siku hizi wanachelewa sana kuoa kwa sababu mbali mbali.
 
Kweli kabisa mkuu,wanawake magraduate huwa hawaolewi,ikitokea wanaita bahati wenyewe..tatizo wanajichukulia babkubwa,so watu wanagonga mihuri wanasepa,inabaki kuwadodea tu.
 
Candid Scope........hebu ifike mahali na hawa wanaume wajiulize tatizo liko wapi kwa upande wao kwa nini hawa wadada wasomi wakatae msiwaoe. It take two to tango jamani.
 
Candid Scope........hebu ifike mahali na hawa wanaume wajiulize tatizo liko wapi kwa upande wao kwa nini hawa wadada wasomi wakatae msiwaoe. It take two to tango jamani.

Tatizo hapa si kwa hawa wanawake kukataa kuolewa na wanaume, ila wanaume kutopenda kuwaoa wanawake wenye umri mkubwa licha ya kuwa na elimu nzuri ambayo inaweza kuwasaidia kujenga vizuri maisha yao. Tunaomba akina dada wajaribu kutupa mawazo juu ya ukweli huu na kwa namna gani wanaathiriwa kutokana na jitihada zao za kujikwamua ili kujiweka sawa kimaisha lakini wengi wanafikia kupata madhara ya kukosa kuolewa.
 
inawezekana unakutanaga na vikongwe vya umri,wengine ndo tunaowapenda,wameanza na umri mdogo wamemaliza degree zao,na wanaendelea na ntaoa.Hiyo yakwako muzeya!!!
 
Tatizo hapa si kwa hawa wanawake kukataa kuolewa na wanaume, ila wanaume kutopenda kuwaoa wanawake wenye umri mkubwa licha ya kuwa na elimu nzuri ambayo inaweza kuwasaidia kujenga vizuri maisha yao. Tunaomba akina dada wajaribu kutupa mawazo juu ya ukweli huu na kwa namna gani wanaathiriwa kutokana na jitihada zao za kujikwamua ili kujiweka sawa kimaisha lakini wengi wanafikia kupata madhara ya kukosa kuolewa.

basi nilisoma vibaya thread maana alivyosema kuwa wanachagua chagua sana wachumba nikahisi kuwa wao hawachaguliwi.
Umri mkubwa una maanisha nini? kwa sababu nijuavyo siku hizi wanafunzi wanaoingia vyuoni ni wadogo kiumri kulinganisha na wale wa zamani ambao kwanza walitakiwa kuingia jeshini n.k.

Sidhani kama tatizo ni umri hapa labda kama ana maanisha higher levels za vyuo mf. PhDs.

Wadada wangekuja kutoa shuhuda zao hapa kama wangekuwa ndio walalamikaji wakubwa. Ninachokiona hapa ni kuwa mtoaji mada alitaka tu kujustify kuwa wanawake wasomi hawafai kuolewa period na si kuwa hawaolewi. Anazunguka zunguka tu mbuyu
 
nani aoe mashine used oils seal zote kwisha kazi..

loh labda muoe vyekechea sasa maana hata hao wa Primary siku hizi wanakuwa wamekwenda mileage kuliko hata sie mama zao! Wao wanasafiri kila safari na wanabeba mizigo ya tani tofauti tofauti na kwa wakati mmoja. Dunia ya sasa haina uafadhali wa umri wala nini bali tabia tu ya mtu. unawezajikuta unamkimbia wa chuo ambaye alijitunza na kuutambua uthamani wake ukarukia wa secondary ambaye anayafahamu majina, rangi na hata makovu ya mapedejee/mafataki yote ya mji.

Muombe MUNGU akupe hekima na akusaidie kumpata aliye mwema acha kuangalia idadi ya madarasa.
 
you have touched a raw nerve dude, ngoja usikilizie moto wake sasa...
 
you have touched a raw nerve dude, ngoja usikilizie moto wake sasa...

Najua mtoa mada kagusa sehemu nyeti, na wengi hawako wazi kuongealea jambo hili kwa uwazi ingawa suala linaloongelewa lipo na linafanyika kila leo. Na wahusika wakuu naona wameingia mitini, kumbe wao ndio wangetupa maoni mazuri zaidi na kutafuta nafasi au upenyo wa kutolea hoja yao ikasikilizwa.

Yanapoongelewa mambo ya umri haimaanishi tu mti kutiliwa mbolea uonekane umesitawi vizuri. Ieleweke pia usitawi wa nje ya mti si uhakika wa kutoa matunda. Ingawa kila mti una uwezo wa kutoa matunda, lakini kunaweza kuwa na sababu mbalimbali au matokeo kadhaa yaliyoisibu miti kadhaa inayohofiwa wanaume wengi kutoichangamkia kwa kuhofia yasiwakute kukosa matamanio ya matunda na ikabaki matunda ya kufikirika yasiyoota mitini, bora mti mchanga unaoinukia kunakuwa na matarajio ya kutumainisha.
 
yule wa darasa la tano uliempa mimba ukamkimbia,,,,,,,,usharudi kwake japo umwone mwanao!?na huyo uliyemwoa na kumweka nyumbani huku ukimnyanyasa ati kisa tegemezi kwako hakutoshi?aisee ukiona mwanamke graduate kaamua kuishi mwenyewe ni maamuzi na si kwamba ati kakosa mume.....ila hataki kero
 
basi nilisoma vibaya thread maana alivyosema kuwa wanachagua chagua sana wachumba nikahisi kuwa wao hawachaguliwi.
Umri mkubwa una maanisha nini? kwa sababu nijuavyo siku hizi wanafunzi wanaoingia vyuoni ni wadogo kiumri kulinganisha na wale wa zamani ambao kwanza walitakiwa kuingia jeshini n.k.

Sidhani kama tatizo ni umri hapa labda kama ana maanisha higher levels za vyuo mf. PhDs.

Wadada wangekuja kutoa shuhuda zao hapa kama wangekuwa ndio walalamikaji wakubwa. Ninachokiona hapa ni kuwa mtoaji mada alitaka tu kujustify kuwa wanawake wasomi hawafai kuolewa period na si kuwa hawaolewi. Anazunguka zunguka tu mbuyu

Kuna mengi yanayochangia ikiwa ni pamoja na ilmu yao, kiwango cha kufikiri, mwono wao katika masuala ya familia, na pia matatizo ya kawaida ya injini ya gari kuwekewa aina mbalimbali ya mafuta kuzuia wear off matatizo yanayojitokeza husababisha athari nyingine. Hali hii inanikumbusha nilipokuwa mdogo nyuma ya nyumba tulikuwa na miti kadhaa ya matunda, mti mmoja uliositawi sana na kuwa na majani mazuri na mapana ya kuvutia mkubwa kupita mingine ulikuwa hautoi matunda tofauti na miti mingine ambayo haikuwa na usitawi wa pekee ilitoa matunda mengi sana mazuri tukawa tunaipapua kupata matunda tunaporudi na njaa toka shule. Haina maana wote ila kuna baadhi wanahofia jambo kama hilo.
 
yule wa darasa la tano uliempa mimba ukamkimbia,,,,,,,,usharudi kwake japo umwone mwanao!?na huyo uliyemwoa na kumweka nyumbani huku ukimnyanyasa ati kisa tegemezi kwako hakutoshi?aisee ukiona mwanamke graduate kaamua kuishi mwenyewe ni maamuzi na si kwamba ati kakosa mume.....ila hataki kero

Tunakushukuru dada kujitosa ulingoni, hapa tunaomba maoni muhimu kutoka kwenu akina dada mtutoe mashaka. Kunaweza kuwa na sababu ambazo wasichana wasomi wanaamua ama kwa kutaka kutopenda kuolewa, au kwa kukosa wanaowachumbia na kuamua kujenga hoja ya kusema wameamua kubaki walivyo ili kuwa na uhuru zaidi.

Kwa vyo vyote mpaka akamua kubaki kama unavyosema kuna kitu kilicomfanya aamue hivyo kwa sababu maisha ya ndoa au mahusiano ya mume na mke ni nature na hakuna siyeguswa nayo hata awe ni kasisi au mweremita. Nini tatizo la wasichana wasomi ambao wengi hugraduate kuanzia miaka 24 and up, je, mnawezaje kutuhakikishia wanaume ubora wenu tofauti na wengi tunavyofikiria?
 
Kuna mengi yanayochangia ikiwa ni pamoja na ilmu yao, kiwango cha kufikiri, mwono wao katika masuala ya familia, na pia matatizo ya kawaida ya injini ya gari kuwekewa aina mbalimbali ya mafuta kuzuia wear off matatizo yanayojitokeza husababisha athari nyingine. Hali hii inanikumbusha nilipokuwa mdogo nyuma ya nyumba tulikuwa na miti kadhaa ya matunda, mti mmoja uliositawi sana na kuwa na majani mazuri na mapana ya kuvutia mkubwa kupita mingine ulikuwa hautoi matunda tofauti na miti mingine ambayo haikuwa na usitawi wa pekee ilitoa matunda mengi sana mazuri tukawa tunaipapua kupata matunda tunaporudi na njaa toka shule. Haina maana wote ila kuna baadhi wanahofia jambo kama hilo.

Ndio maana nikasema dhana ya mtoa mada ilikuwa ni Wanawake wasomi hawafai kuolewa (kwa vigezo hivyo ulivyovieleza i.e. woga wa wanaume n.k) na sio kuwa hawaolewi ndio maana wengi wanapingwa kwani wapo walioolewa wengi pia.

Kuna threads nyingi tu zilizokwisha lizungumzia hili suala na zikachangiwa vizuri sana na both men and women. Na walitoa sababu na mapendekezo mengi mazuri tu including hilo la uwoga wa wanaume.
 
yule wa darasa la tano uliempa mimba ukamkimbia,,,,,,,,usharudi kwake japo umwone mwanao!?na huyo uliyemwoa na kumweka nyumbani huku ukimnyanyasa ati kisa tegemezi kwako hakutoshi?aisee ukiona mwanamke graduate kaamua kuishi mwenyewe ni maamuzi na si kwamba ati kakosa mume.....ila hataki kero

Aksante Mama D kwa kutuwekea upande mwingine wa shilingi. Sometimes mimi huwa ninaamini kuwa mara nyingine huwa ni uwoga usio na lazima. Pengine tungepata na takwimu zinazoonyesha kuwa wanawake wasomi wanaoolewa ndoa zinawashinda kulinganisha na hawa wengine ingetusaidia sana katika hii mada. Lakini kusema tu hawaolewi kwa kuwa umeangalia idadi ya ambao wako single tunawezajikuta tunamiss point muhimu sana.

Lakini kuna thrads nyingi tu zilishazungumzia hii ishu na nadhani zilieleweka vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom