Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
 
Pole, inaonekana yashakukuta. Lakini nafikiri hii mentality wanaume tunatakiwa tuiondoe. Kinachosumbua hapa ni tu kwamba msichana liyesoma anazijua haki zake za msingi, kwa hiyo hatakubali kutumiwa kama duludoza. Na hapo ndo tatizo linapoanzia, maana wanaume wengi tunapenda tuonekane kama miungu watu. Lakini ukichukulia poa, ukawa unafanya naye mambo yote kwa kuzingatia usawa; (I mean unafua, unapika, unadeki unafagia uwanja pale unapoona inawezekana) hakuna utakachoona kigumu. Kwa kawaida mwanamke msomi ana kazi sawasawa na wewe. Kwa hiyo kama ambavyo wewe usivyo na nafasi, yeye pia hana. Kwa hiyo hawezi kuwa na muda mkubwa sana wa kukutumikia wewe tu. Kwa kiasi kikubwa mnahitaji mfanye kazi kwa usawa. Ndo maana wazungu wanawekeana zamu kwa kila kitu.
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
...acha watoto wa watu wasome!!Au kama unaona ni tatizo ukweli ukijaliwa mtoto wa kike akifika darasa la saba usimuendeleze kielimu...ili uwe umemsaidia kupata mume!!
Hizi vitu are so complicatedi, and confyuzing! But they say life is how you make it..
 
kaka unaoa ....uolewi ...elimu kitu gani wewe ...u have ur role and principal kama yeye ameolewa atazifata tu ...ok
 
Mkuu hapo umefanya samaki mmoja akioza wote wameoza kwani huyo uliyempata huenda ata asingesoma angalikua hivyohivyo so pole sana mwombe Mungu atambadilisha
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Hapo mwenzangu hata haihusu kama kasoma au hajasoma sababu kama nimshenzi watabia atafanya ujeuri dharau na kiburi,awe anapika mama ntilie au bar maid tabia ndio muhimu,chamsingi tumuombe Mungu atupe alobora na mwenye kheir na kizazi chetu.....
 
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Binafsi sitopenda kuwa na mke ambae kichwani zero. Samahani mkuu kama yamekukuta lakini utambue sio wanawake wasomi wote ni matatizo
 
Yamekukuta nini, maana naona hata thread umeiandika wakati bado unahema kwa hasira,usitukoseshe waume
tumesoma na vilevile tunajua wajibu wetu kama kuwa wake wema
 
Kila mnapokuwa watu wawili au zaidi lazima pawepo na kiongozi yaani ninamaana mtu mwenye maamuzi ya mwisho.................. Tatizo huanzia hapo
 
Yamekukuta nini, maana naona hata thread umeiandika wakati bado unahema kwa hasira,usitukoseshe waume
tumesoma na vilevile tunajua wajibu wetu kama kuwa wake wema
Hawezi kutujaza ujinga kwa uvivu wa kuchaguwa, mimi nataka msomi hata wa phd, tunatoa semina humu kila siku jinsi ya kukikuna kipere G hawaelewi, sasa wakipigwa chini na mademu wanadhani ni ule usomi ndio tatizo,.......... kumbe hajui kama tatizo ni mlima kilimanjaro ufike kule kileleni!!
 
Binafsi sitopenda kuwa na mke ambae kichwani zero. Samahani mkuu kama yamekukuta lakini utambue sio wanawake wasomi wote ni matatizo
<br />
<br /> mkuu hapo nadhani haupo sahihi kwani madigrii na ndoa ni vitu visivyohusiana kabisaa labda kama **** chuo kinachotoa digrii ya ndoa
 
Bado nadhani ugolikipa hauna mahusiano na madigirii hiyo ni staili ya maisha mnayoichagua
 
Back
Top Bottom