Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Hizi vitu are so complicatedi, and confyuzing! But they say life is how you make it.....acha watoto wa watu wasome!!Au kama unaona ni tatizo ukweli ukijaliwa mtoto wa kike akifika darasa la saba usimuendeleze kielimu...ili uwe umemsaidia kupata mume!!
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Binafsi sitopenda kuwa na mke ambae kichwani zero. Samahani mkuu kama yamekukuta lakini utambue sio wanawake wasomi wote ni matatizoUshauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Hawezi kutujaza ujinga kwa uvivu wa kuchaguwa, mimi nataka msomi hata wa phd, tunatoa semina humu kila siku jinsi ya kukikuna kipere G hawaelewi, sasa wakipigwa chini na mademu wanadhani ni ule usomi ndio tatizo,.......... kumbe hajui kama tatizo ni mlima kilimanjaro ufike kule kileleni!!Yamekukuta nini, maana naona hata thread umeiandika wakati bado unahema kwa hasira,usitukoseshe waume
tumesoma na vilevile tunajua wajibu wetu kama kuwa wake wema
Kuna rafiki yangu mmoja nae ameo gari, yaani hawa vijana wa mjini wana shida kweli kweli.Mkuu, nadhani ulichagua usomi badala ya kuchagua mke. Hayo ndo matokeo yake.
<br />Binafsi sitopenda kuwa na mke ambae kichwani zero. Samahani mkuu kama yamekukuta lakini utambue sio wanawake wasomi wote ni matatizo
Narudia tena, Mke golikipa sitaki<br />
<br /> mkuu hapo nadhani haupo sahihi kwani madigrii na ndoa ni vitu visivyohusiana kabisaa labda kama **** chuo kinachotoa digrii ya ndoa