Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.


Watu bana,yaani ukipata tatizo unataka kulifanya GLOBAL?
kwakua umesumbuliwa na binti ya chuo,basi "mabinti" wa chuo wako hivo wote?
Acha ushamba bana
 
duniani kuna wanawake wa kila aina na wote wana mapungufu yao
chagua kitu roho inapenda
mimi elimu kwangu muhimu mwenza wangu lazimaawe class kidogo at least phd
 
Kwa kujazia tu utafiti umeonyesha kuwa watoto waliolelewa na mke (golikipa) huishi kwa maadili mema wakiwa watu wazima kuliko waliolelewa na mahausigeli
Hii ina kaukweli fulani!
 
Mbona mi nina ka degree kamoja tu na mke wangu ana masters degree na hajawahi kunisumbua.anapika,anafua kama kawa na anaenda zake kazini.hiyo ni tabia ya mtu tu
 
duniani kuna wanawake wa kila aina na wote wana mapungufu yao
chagua kitu roho inapenda
mimi elimu kwangu muhimu mwenza wangu lazimaawe class kidogo at least phd
Dah... sasa wenye Phd mbona tupo wachache sana... na tayari tupo occupied!!
 
Watu bana,yaani ukipata tatizo unataka kulifanya GLOBAL?<br />
kwakua umesumbuliwa na binti ya chuo,basi &quot;mabinti&quot; wa chuo wako hivo wote?<br />
Acha ushamba bana
<br />
<br />
wewe ndo waonekana mshamba kwa kukosa hoja
 

Bang On.....
Nlikuwa nakusubiri umalizie kazi
Kama kawa hujaniangusha..
Asantee..
 
Tatizo sio degree walizonazo, tatizo ni uadilifu wa mtu. Kuna baadhi ya wanawake waliosoma wana hulka hizo, vile vile kuna baadhi ya wanawake wasiosoma na wao wana hulika hizo. Tunaona mitaani huku ndoa za wanawake wanawake wasiosoma zinavyosumbua( ukiuliza wenyeji, wanasema huyo mwanamke hashikiki, Maharage ya Mbeya), Kuna ndoa za wanawake wasomi pia zinasumbua sana, sababu ni nyingi sana, unaweza ukakuta nwanamke ana jeuri ya shule au mwanaume naye ni tatizo.

Haya mambo yamesababisha kipindi hiki vijana wasomi kuwa na mawazo hasi, utasikia wanasema mimi nitaoa asiyesoma tu. Na nikweli wengi wameshaanza hako ka hulka kwa sababu hafifu.

Mimi nitaoa yoyote huku nikitambua Mke bora huletwa na Mungu. Cha kufanya ni kusali tu.

Huwezi bagua mwanamke kwa kuangalia elimu yake, hatuoi elimu tunaoa mke. Mtu akilalamika, ujue alioa elimu na wala sio mke.
 

duh mkuu umepitiliza sasa.
Mwanamke kufanya hizo kazi sio kunitumikia ni wajibu wake kama mke.
kuhusu kuwekeana zamu kupika,kufagia,kufua mm naona tuwaachie tu hao wazungu ambao umewataja lakin kwa waafrika hii kitu ni ngumu sana mkuu.
 
wanaume wenye elimu ya juu ni matatizo zaidi!!!
 


Umetoa maelezo mazuri ulipochemsha ni kutoa mifano ya wazungu. Acha kuchanganya tamaduni wewe usiige. Hata hivyo mila zetu ni nzuri mwanamke lazima amuhudumie mume ipasavyo
 
.... Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

C'mon - Its never factual! I think its more of a subjective opinion than anything!
 
kwa hiyo we hutapenda dada yako asome?
Hutapenda mwanao asome?

ushauri mbaya, so fresh, demu anaweza kusoma sana but stil akakuheshimu kama mumewe.
 
si wote wasumbufu hata hao magolikipa sometimez nao wanakimbiza waume zao mchakamchaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…