Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.
Hii ina kaukweli fulani!Kwa kujazia tu utafiti umeonyesha kuwa watoto waliolelewa na mke (golikipa) huishi kwa maadili mema wakiwa watu wazima kuliko waliolelewa na mahausigeli
Dah... sasa wenye Phd mbona tupo wachache sana... na tayari tupo occupied!!duniani kuna wanawake wa kila aina na wote wana mapungufu yao
chagua kitu roho inapenda
mimi elimu kwangu muhimu mwenza wangu lazimaawe class kidogo at least phd
Narudia tena, Mke golikipa sitaki

Watu bana,yaani ukipata tatizo unataka kulifanya GLOBAL?

kwakua umesumbuliwa na binti ya chuo,basi "mabinti" wa chuo wako hivo wote?

Acha ushamba bana
​Ninyi ndo tunaowatafuta. Siku zote ulikuwa umejificha wapi mkuu?
Sasa hapa umetoa hoja gani?

wewe ndo waonekana mshamba kwa kukosa hoja
ad,mbona hujamalizia?

na wewe lazma usome.

na watoto nao watasoma tu!

vijana wanaogopa, ndo maana hawapati wachuumba. sie tunataka mwanaume kiongozi wa nyumba. a masculine figure,who can stand up for us! atangulie mie nifuate. sasa kama ndo wanaogopa wachumba namna hii,sijui kama tutafika!

Pole, inaonekana yashakukuta. Lakini nafikiri hii mentality wanaume tunatakiwa tuiondoe. Kinachosumbua hapa ni tu kwamba msichana liyesoma anazijua haki zake za msingi, kwa hiyo hatakubali kutumiwa kama duludoza. Na hapo ndo tatizo linapoanzia, maana wanaume wengi tunapenda tuonekane kama miungu watu. Lakini ukichukulia poa, ukawa unafanya naye mambo yote kwa kuzingatia usawa; (I mean unafua, unapika, unadeki unafagia uwanja pale unapoona inawezekana) hakuna utakachoona kigumu. Kwa kawaida mwanamke msomi ana kazi sawasawa na wewe. Kwa hiyo kama ambavyo wewe usivyo na nafasi, yeye pia hana. Kwa hiyo hawezi kuwa na muda mkubwa sana wa kukutumikia wewe tu. Kwa kiasi kikubwa mnahitaji mfanye kazi kwa usawa. Ndo maana wazungu wanawekeana zamu kwa kila kitu.

.... Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.