Ungana
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 357
- 74
Seriously ..
Nyie wanaume mnaoanzisha hizi thread
mmnajidharau na kujidhalilisha wenyewe..
Nimechoka kuona thread kama hii
Kila wiki lazima iwepo..
Guys anzene kuvuta suruali juu
Kaza mkanda .. kuweni wanaume..
Chukua challenge acheni ku kung'unika..
Nyie ndo vichwa vya nyumba.. tutawapa
Vipi madaraka kama mnaogopa elemu zetu..
Jamani embu acheni hizi thread za ki pumbavu..
Weekend njema..
Make love,not war
Whether umegraduate with As or with AIDS