Wasichana wenye nyash wapewe maua yao

Wasichana wenye nyash wapewe maua yao

Ni tamaa zetu ila iko overrated.
Huwa nawachoka mapema sana hawa watu.

Sometimea huwa nawaza kua na mahusiano na wenye nyash maana kiukweli nyash ikiisha kumpenda huwa ni ngumu.
Kabla hujamtongoza unajiuliza hivi huyu nimempenda au nimependa nguo na tako tu.

Tako likiisha huwa wanakua na kisirani sana, na huwa linaisha ni wachache hulimaintian toka udogo wao.
 
71F028C6-0266-48BF-80F6-D59C9B5A113D.jpeg

Kama hili mimi hoi 😜😜😝
 
Back
Top Bottom