Wasichofahamu waliofungia kanisa la Gwajima na hivyo kinawatesa

Wasichofahamu waliofungia kanisa la Gwajima na hivyo kinawatesa

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
- Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao.

- Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini kutobadili msimamo wa imani kwa Mungu wao maana kufanya hivyo nisawa na na kumkana Mungu. Kuna verse zimetaja si kifo, maradhi, njaa, mateso, mamlaka, vinavyoweza mtenganisha mtu na Mungu.

Kuna maeneo kwenye bible yanadogosha umuhimu wa kuwepo duniani kwamba hapa ni kwa mda tu ila huko mbele kuna maisha ya milele.

Kuna maeneo Mengi kwenye Bible na mafundisho kwenye bible yanaonyesha mifano ya waliosimama imara dhidi ya tawala dhalimu za kale . Mfano Daniel, Eliza, Shedrack, Abedindgo, meshack. Hao huchukuliwa kama role model kwa wakristo walioiva wasasa.

Sasa basi, kinachofanywa na serikali ya Rais Samia dhidi ya kanisa la Ufufuo na uzima ngoja tuone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom