Wasifieni Wanawake zenu...

Sifa ziwe za kweli na zisizidi, Mimi mtu akinisifia sifia kila dakika naona ananichuuza halafu naanza kuboreka
 
Wanaume humu JF wanafiki lengo sio upendo wanataka wakujue then wasambaziane taarifa zako na wengine kutunga uongo humu na kuja kutukana na I'd nyingine ili kupata sifa, wengi hawana mbele Wala nyuma, Wana tabia chafu na wameshindikana na Wana stress za maisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti Kuna dada kakupaishia njiwa wako
Kaja kubutua kopo kabisa afu from nowhere
Ila inaonesha mnafahamiana sana

Ila dada Karma popote ulipo jua umekua chanzo cha kuharibu unabii na sidhani hii karma itakuacha kama lilivo jina lako.[emoji52]
 
Sio kujichoresha kaka Yohana
Kwani wangapi wamekutana kwenye hizi platform na wameanzisha familia?
Ni suala la Mapenzi,hisia na kukubaliana.
 
Sio kujichoresha kaka Yohana
Kwani wangapi wamekutana kwenye hizi platform na wameanzisha familia?
Ni suala la Mapenzi,hisia na kukubaliana.
Ila me naona ungemuomba tu muonane kwanza, mjuane ndo u express feelings zako unavyofunguka huku it sounds weired na anakuoan desperate! Na hawez kukubal mzee kwa kutangaza hapa unampenda never!!
 
Sio kujichoresha kaka Yohana
Kwani wangapi wamekutana kwenye hizi platform na wameanzisha familia?
Ni suala la Mapenzi,hisia na kukubaliana.
Ila sidhan kama walitangaza kila mtu akaona!! Nadhan walitafatana privately wakamalizana!! Yan unachofanya ww ni sawa umekuatana na mademu watano af ukamtongoza mmoja mbele ya wenzake we unadahan atakubal?? Kama kafunga pm yake inamaanisha hayuko intrested na wanaume wa huku ndo maan kafanya hivyo!! Em jiheshimu na utafute wanawake wengine mbona wapo wengi tu blaza😆😆😆
 
Kaja kubutua kopo kabisa afu from nowhere
Ila inaonesha mnafahamiana sana

Ila dada Karma popote ulipo jua umekua chanzo cha kuharibu unabii na sidhani hii karma itakuacha kama lilivo jina lako.[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23]hata hatufahamiani kabisa Mimi nimetokea kumpenda misimamo yake maana naona tunafanana mengi hasa misimamo
 
Ila me naona ungemuomba tu muonane kwanza, mjuane ndo u express feelings zako unavyofunguka huku it sounds weired na anakuoan desperate! Na hawez kukubal mzee kwa kutangaza hapa unampenda never!!
Sawa Papa John nimekubali kushindwa

No need to fight a loosing war.
 
Praise and worship again!! [emoji31][emoji31]
 
Hivi kuna mwanamke asiependa kusifiwa na mpenzi wake kweli?
Hapa umesema kweli. Mwanamke aweza kusifiwa na mume wake lakini akakutana na mpenzi wake wa pembeni akamzidi ujanja kwa sifa kede kede. Hata hivyo sifa sio sababu ya mwanamke kujizuia na kuamua kubaki na mwanamume mmoja. Huu ni uongonkama uongo mwingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…