Wasifu/Biography wa Ali Masoud (Masoud Kipanya)

Duh kwako mtu akiwa Muislam unaugua kbs
 

Comment yko ina ujinga kiwango cha lami.
 
nilicho sikia kutoka kwake mwenyewe ni kua hakupata nafasi ya kusoma elimu ya secondary
 
Hivi Ile KP cloth line yake iliishia wapi au Work in progress?Naskia baada ya kuona inafanana na playboy akapiga chin.kweli?CV yake jamani au alidanganya miaka Kama Michael Esien?Elimu je?
 
Alisoma wapi secondary?
jamaa ni STANDARD 7 !alisoma huko mwananyamala(labda alipiga QT dizaini hapa na pale ukubwani hilo sijui) na hata uchoraji alijifunza kupitia kwa bro wake!

Ila alikuwa anapenda sana kuchora tangu PRIMARY SCHOOL alikuwa hamna kitu kivile.

Inawezekana ikawa kipaji tuuu
 
Mkuu watu wa hivyo hawanaga elimu kubwa zaidi ya kipaji! But watu hawajui kuwa Mchoraji yoyote mwenye kipaji halisi, anawaza zaidi ya mtu wa kawaida, na IQ zao Ni kubwa kuliko watu wa kawaida! Pia wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja!
 
Kipaji ndio kinachotafutwa unaweza kwenda shule then hukawa huna kipaji
Kipaji hakitafutwi mkuu! Huwa kipo always, otherwise huibuliwa na mtu mwingine kwa maana ya mtu mwingine kutambua kipaji chako!
 

Ndo nini hiyo mkuu, unaweza kuweka picha tukaiona kwa wale ambao hatufahamu ni nini?
 
nilicho sikia kutoka kwake mwenyewe ni kua hakupata nafasi ya kusoma elimu ya secondary

Nakumbuka alisema alisoma Malawi labda hadi kidato cha pili kisha akaja bongo na kumalizia kidato Cha nne. Malawi alikua anaishi na ndugu.......aliongea siku nyingi nimeshau sahau [emoji4]
 

Acha udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…