Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Mtani huu mchezo hautaki hasira...Kumbe CV inahusisha hadi alama za mwili...asante sana kwa elimu mkuu...
Nilikuwa muhogo zamani nashukuru kama umegundua nimebadilika na kuwa kiazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani huu mchezo hautaki hasira...Kumbe CV inahusisha hadi alama za mwili...asante sana kwa elimu mkuu...
Nilikuwa muhogo zamani nashukuru kama umegundua nimebadilika na kuwa kiazi.
Alama za mwili zinaletwa na tabia...wewe huwezi jua. Sometimes its more psychological...
Wewe unajua cv ni kumsifia mtu?Kama hujui kinachozungumzwa omba uletewe pot unye ulale
Duh kwako mtu akiwa Muislam unaugua kbsNashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
jamaa ni STANDARD 7 !alisoma huko mwananyamala(labda alipiga QT dizaini hapa na pale ukubwani hilo sijui) na hata uchoraji alijifunza kupitia kwa bro wake!Alisoma wapi secondary?
Haha[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umenchekesha sana broWatu wanaulizia CV wewe unakuja na sijda...kumfuatilia mtu kiasi hicho ni dalili za uchawi...
huyu ni kipaji tuu shule ni zero kama kibonde
haa haa vin diesel umeniua mbavu leoWatu wanaulizia CV wewe unakuja na sijda...kumfuatilia mtu kiasi hicho ni dalili za uchawi...
Mkuu watu wa hivyo hawanaga elimu kubwa zaidi ya kipaji! But watu hawajui kuwa Mchoraji yoyote mwenye kipaji halisi, anawaza zaidi ya mtu wa kawaida, na IQ zao Ni kubwa kuliko watu wa kawaida! Pia wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja!Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia muda mrefu ...........Aisee huyu jamaa ni kichwa sana......Yani unaweza ukachukua threads kibao za JF na comments za watu, lakini yeye akaweza kuyapresent kwa mchoro mmoja tu.......
Matatizo mengi sana ya kijamii amekuwa akiyawakiisha katika michoro yake......Na kuna muda inahitaji akili ya ziada kuweza kuelewa michoro yake..............Michoro yake mingi imejaa Sarcasm na inakosoa kila penye kosa bila kujali ni upande wa serikali wala upinzani.............
Kuna muda anaweza akatoa mchoro wake ukauchukulia poa mpaka baada ya muda ndo unaelewa alichokimaanisha.....Mfano ile ishu ya Sefue kutumbuliwa.....
Nikawaza kuwa huyu jamaa anapaswa kupewa degree ya heshima na vyuo vyetu hapa Tz.....
Hebu mwenye kumjua vizuri historia yake kielimu aitupie hapa ili tumfahamu kwa undani.....Jamaa ni kichwa sana...
Usijifanye kama hauna Akili hata kidogo Tu!Aisee, unatania ama upo serious?....................Ina maana hajasoma hata msingi au sekondari?
Kipaji hakitafutwi mkuu! Huwa kipo always, otherwise huibuliwa na mtu mwingine kwa maana ya mtu mwingine kutambua kipaji chako!Kipaji ndio kinachotafutwa unaweza kwenda shule then hukawa huna kipaji
Jamaa wametisha aseHahaha nyie jamaa mmenichekesha sana
Nashangaa siku hizi anasjida kubwa usoni!Wakati ameanza kusali ukubwani tu..kitu kinanishangaza sana..watu waliozaliwa Saudi Arabia au Dubai ..ambao huwa wameanza kusali toka wakiwa wadogo hawana sijda, lakini wabongo ambao wameijua dini ukubwani,wanasugua uso makusudi mpaka itokee sijda ili waonekane ni watu wadini.Ajabu sana...
Usijifanye kama hauna Akili hata kidogo Tu!
nilicho sikia kutoka kwake mwenyewe ni kua hakupata nafasi ya kusoma elimu ya secondary