Wasifu (CV) wa Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Wasifu (CV) wa Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Sababu 20 zinazoweza kusababisha Watanzania kuuawa​

  1. Uporaji na uhalifu wa kutumia nguvu.
  2. Migogoro ya kifamilia.
  3. Wivu katika mahusiano.
  4. Kulipiza kisasi.
  5. Migogoro ya ardhi.
  6. Migogoro ya mali na mirathi.
  7. Migogoro ya biashara.
  8. Ukatili wa kijinsia.
  9. Mauaji ya watoto.
  10. Tuhuma za uchawi au imani za kishirikina.
  11. Ugomvi unaotokana na ulevi.
  12. Migogoro ya kisiasa.
  13. Migogoro kati ya makundi au jamii.
  14. Uhalifu wa magenge.
  15. Ugomvi wa majirani.
  16. Migogoro ya madeni.
  17. Wizi unaogeuka kuwa mauaji.
  18. Mauaji yanayotokea wakati wa migogoro ya umma au vurugu.
  19. Mauaji yasiyokusudiwa yanayotokana na uzembe au matumizi mabaya ya silaha.
  20. Mauaji yanayohusishwa na migogoro ya kijamii au chuki dhidi ya mtu/kundi fulani.
Zababu ambazo ndiyo zinasababisha watu kuuawa nchini Tanzania kwa sasa:
-Kuwa na mawazo tofauti na ya Samia na ukatamka hadharani mawazo yako.
-Kushauri jambo lolote ambalo gstilamcurahisha Samia.
-Kulalamika pale raia wanapotekwa na polisi kisha wakauawa pasina kufikishwa mahakamani.
-Kusema hadharani kwamba hautashiriki kwenye uchaguzi.
-Kuilalamikia tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki.
-Kulalamika pale Samia anapofukuza watu kwenye maeneo yao ya asili na kuwapa Waarabu kwa utaratibu using bayana kwa taifa.
-Kusema hadharani kwamba hauipendi CCM.
-Kusema kwamba kuandamana ni haki ya kikatiba.
-Kusema hadharani kwamba utekaji, ufiraji na uuaji raia vinapaswa kukomeshwa.
-
-
-
 
Sina shaka nae na uzuri kisha sema maumivu aliyoyapata kwny kupigwa risasi ni makubwa sana hana uoga wa kupoteza chochote hata umri alionao haulingani na uliobaki
 

Sababu 20 zinazoweza kusababisha Watanzania kuuawa​

  1. Uporaji na uhalifu wa kutumia nguvu.
  2. Migogoro ya kifamilia.
  3. Wivu katika mahusiano.
  4. Kulipiza kisasi.
  5. Migogoro ya ardhi.
  6. Migogoro ya mali na mirathi.
  7. Migogoro ya biashara.
  8. Ukatili wa kijinsia.
  9. Mauaji ya watoto.
  10. Tuhuma za uchawi au imani za kishirikina.
  11. Ugomvi unaotokana na ulevi.
  12. Migogoro ya kisiasa.
  13. Migogoro kati ya makundi au jamii.
  14. Uhalifu wa magenge.
  15. Ugomvi wa majirani.
  16. Migogoro ya madeni.
  17. Wizi unaogeuka kuwa mauaji.
  18. Mauaji yanayotokea wakati wa migogoro ya umma au vurugu.
  19. Mauaji yasiyokusudiwa yanayotokana na uzembe au matumizi mabaya ya silaha.
  20. Mauaji yanayohusishwa na migogoro ya kijamii au chuki dhidi ya mtu/kundi fulani.
21. Msema kweli.
22 mkataa dhuluma.
23. Kuichukia CCM.
 
Ni wakati sasa CV za viongozi wote wa umma zikawekwa wazi tujue elimu zao na uzoefu wa kazi katika taaluma zao. Hata wasanii na wanamichezo nyota tujue elimu zao walipitapita wapi mpaka wakafika hapo
Mimi Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa tunalipinga wazo hilo kwa nguvu zote.
 
CV imeshiba na imenyooka kweli kweli. Sioni dalili ya uwepo wa ujanja ujanja wa elimu ya hapa na pale.
Hakuna ujanja bro mimi nimesoma naye pale ilboru ila nilitaka kueleza tu majina aliyokuwa anatumia darasani so sina shaka naye hata tone.
 
Ni wakati sasa CV za viongozi wote wa umma zikawekwa wazi tujue elimu zao na uzoefu wa kazi katika taaluma zao. Hata wasanii na wanamichezo nyota tujue elimu zao walipitapita wapi mpaka wakafika hapo
Si rahisi wengi wataishia mahakamani kwa kula mshahara bila kuwa na sifa ya mshahara huo.
 
Back
Top Bottom