Wasifu (CV) wa Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Zababu ambazo ndiyo zinasababisha watu kuuawa nchini Tanzania kwa sasa:
-Kuwa na mawazo tofauti na ya Samia na ukatamka hadharani mawazo yako.
-Kushauri jambo lolote ambalo gstilamcurahisha Samia.
-Kulalamika pale raia wanapotekwa na polisi kisha wakauawa pasina kufikishwa mahakamani.
-Kusema hadharani kwamba hautashiriki kwenye uchaguzi.
-Kuilalamikia tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki.
-Kulalamika pale Samia anapofukuza watu kwenye maeneo yao ya asili na kuwapa Waarabu kwa utaratibu using bayana kwa taifa.
-Kusema hadharani kwamba hauipendi CCM.
-Kusema kwamba kuandamana ni haki ya kikatiba.
-Kusema hadharani kwamba utekaji, ufiraji na uuaji raia vinapaswa kukomeshwa.
-
-
-
 
Sina shaka nae na uzuri kisha sema maumivu aliyoyapata kwny kupigwa risasi ni makubwa sana hana uoga wa kupoteza chochote hata umri alionao haulingani na uliobaki
 
21. Msema kweli.
22 mkataa dhuluma.
23. Kuichukia CCM.
 
Ni wakati sasa CV za viongozi wote wa umma zikawekwa wazi tujue elimu zao na uzoefu wa kazi katika taaluma zao. Hata wasanii na wanamichezo nyota tujue elimu zao walipitapita wapi mpaka wakafika hapo
Mimi Lucas Mwashambwa na Thlaatlaa tunalipinga wazo hilo kwa nguvu zote.
 
CV imeshiba na imenyooka kweli kweli. Sioni dalili ya uwepo wa ujanja ujanja wa elimu ya hapa na pale.
Hakuna ujanja bro mimi nimesoma naye pale ilboru ila nilitaka kueleza tu majina aliyokuwa anatumia darasani so sina shaka naye hata tone.
 
Ni wakati sasa CV za viongozi wote wa umma zikawekwa wazi tujue elimu zao na uzoefu wa kazi katika taaluma zao. Hata wasanii na wanamichezo nyota tujue elimu zao walipitapita wapi mpaka wakafika hapo
Si rahisi wengi wataishia mahakamani kwa kula mshahara bila kuwa na sifa ya mshahara huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…