figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu.
Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani
Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.
Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma mazingira yaliyomzunguka. Alipoteuliwa kuwa makamu wa Rais alilia sa na(pata picha na yale macho yake).
Alikuwa hajui kufunga Ushungi hadi alipofundishwa wakati anagombea, alikuwa anaachia nywele hadi wanamuita Lizungu, alikuwa anavaa Suruali sana zaidi ya Sister P.
Samia ukimtukana anakaa kimya hadi mnanisangaa mnaomtukana. Anefanya kazi saa kwenye NGOs hadi alikuwa anasafiri kwa basi Dar hadi Afrika Kusini.
Anasema kufika alipo ni mkono wa Mungu, hata kama humheshimu Samia, basi Mheshimu Mungu aliymfikisha alipo.
Msikilize hapa.