Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.
Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma mazingira yaliyomzunguka. Alipoteuliwa kuwa makamu wa Rais alilia sa na(pata picha na yale macho yake).
Alikuwa hajui kufunga Ushungi hadi alipofundishwa wakati anagombea, alikuwa anaachia nywele hadi wanamuita Lizungu, alikuwa anavaa Suruali sana zaidi ya Sister P.
Samia ukimtukana anakaa kimya hadi mnanisangaa mnaomtukana. Anefanya kazi saa kwenye NGOs hadi alikuwa anasafiri kwa basi Dar hadi Afrika Kusini.
Anasema kufika alipo ni mkono wa Mungu, hata kama humheshimu Samia, basi Mheshimu Mungu aliymfikisha alipo.

Mkuu 'figga', leo umekuja kivingine kabisa. Kuna nini?
EeeeenHeeee!
Kumbe hayo kayasema mwenyewe, wewe ni tarishi tu!
Samia mwanaharakati?
Lakini pamoja na kuwa na urafiki na mungu, hajasema kakutana wapi na JK aliyemsogeza karibu zaidi na hapo alipo!
Hatma ya nchi kama Tanzania, ni kubahatisha tu. Hapa miaka inakatika tukipiga soga na mipasho! Kizazi kizima kitapita hivi hivi bila kuonja utamu wa nchi yao.
nikaangalia serikalini nikaona watu wanakwenda "too slow", Siku hizi wanakwenda too fast bila shaka.
"Ukisikiliza baraza la wawakilishi unaona kabisa hawa wapinzania wanatudhidi kitu", siku hizi vipi tunawadhidi kitu wapinzani ndani ya bunge na baraza la wawakilishi.
"Ukisikiliza baadhi ya mawaziri unasikia wanajibu hovyo ndio maana nikawa na shauku nikapambane nao", ~ Vipi siku hizi mawaziri hawajibu hovyo?.
Kumbe kushikwa mkono nako kumo? halafu huyu mtoto wa nani? katoka wapi? Vipi siku hizi hayapo hayo?..
Mama immediately tu amekuwa ndani ya baraza la uwakilishi na hapohapo uwaziri akiwa hajawahi kabisa kuwa mtumishi wa serikali ~ Mama was the genius eeeeh.
Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.
Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma mazingira yaliyomzunguka. Alipoteuliwa kuwa makamu wa Rais alilia sa na(pata picha na yale macho yake).
Alikuwa hajui kufunga Ushungi hadi alipofundishwa wakati anagombea, alikuwa anaachia nywele hadi wanamuita Lizungu, alikuwa anavaa Suruali sana zaidi ya Sister P.
Samia ukimtukana anakaa kimya hadi mnanisangaa mnaomtukana. Anefanya kazi saa kwenye NGOs hadi alikuwa anasafiri kwa basi Dar hadi Afrika Kusini.
Anasema kufika alipo ni mkono wa Mungu, hata kama humheshimu Samia, basi Mheshimu Mungu aliymfikisha alipo.
Kama nakumbuka vizuri, kuna kipengee cha Katiba kinachosema Rais atakuwa na elimu ya Shahada ya Chuo Kikuu. Sijui kama hili ni kwa wale wanaogombea tu na si kwa anayerithi Urais kama Rais wa sasa alivyo. Hii ni kasoro ya Katiba kwa kuwa tumepata Rais asiyekidhi matakwa ya Katiba.
figganifigga, wewe ni member mkongwe hapa JF kama sikosei wewe ni miongoni mwa member wa mwanzo mwanzo hapa JF sikutegeme jibu la aina hii la great thinker!!