Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

Huu ni wasifu wangu mimi Binadamu Mtakatifu

Umri: 18 (june 8 2004)
Dini: Mkristo Poli
Dini ya mama: Mkristo
Dini ya baba: Muislamu
Napenda: Kulala na kudevelop software mbalimbali, kucheka na marafiki
Sipendi: kukerwa/ huzuni
Uhusiano: Nipo singo sijawah kunaniliu
Kwanini nipo Jf: Just4Fun
Kabila: Msambaa
Rangi ya ngozi: Mweupe kiasi
Nini hufanya wakati nipo lonely: kukumbuka funny moments zangu
Kuzaliwa: Mapacha Me na Ke 😊

Nawewe weka sifa yako
Duh. Tunaomba kazi gani tena hadi tunaambatanisha cv zetu?
 
Umri: 18 (june 8 2004)
Dini: Mkristo Poli
Dini ya mama: Mkristo
Dini ya baba: Muislamu
Napenda: Kulala na kudevelop software mbalimbali, kucheka na marafiki
Sipendi: kukerwa/ huzuni
Uhusiano: Nipo singo sijawah kunaniliu
Kwanini nipo Jf: Just4Fun
Kabila: Msambaa
Rangi ya ngozi: Mweupe kiasi
Nini hufanya wakati nipo lonely: kukumbuka funny moments zangu
Kuzaliwa: Mapacha Me na Ke 😊
images (10).jpeg
 
Binafsi wasifu wangu ni kwamba; Nilijiunga JF (enzi hizo ikiitwa Jambo Forums) wewe ukiwa na Umri wa miaka minne.

Na leo hii tayari ni Mkubwa mwenzangu..[emoji3]
We acha baba haya maisha ila ndevu sina
 
Back
Top Bottom