Wasifu Mzito wa Profesa Mohammedi Janabi uliomkosha Rais Samia wenye ubobevu na ubingwa hususan katika Magonjwa ya Moyo

Alizaliwa wapi, msingi alisoma wapi na sekondari kapiga wapi! Mm naona tu mara Japan mara Ukraine hata sielewi...
 
Prof amelifanyia makubwa mno taifa hili, lazima tumuunge mkono afike mbali, hiyo ndo shukrani pekee tunaweza kumpatia, hakuna kingine.
 
We jamaa uliwahi hata ingia darasani achilia mbali kuelewa.
 
Andiko hili nimelikopi mahali na kuwaleteeni hapa na siyo andiko langu Binafsi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Na hivi sasa limemuacha mama anabubujikwa na machozi asilani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…