Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama akoshwe vyote na huyo mwamba lakini kamwe asije akaingia mkenge kutaka jamaa awe Daktari wake wa moyo, atajuta. Mwamba katika level ya kibingwa hana hiyo taaluma.
Hiyo ni CV ya kawaida tu.sema ti Samia amekoshwa na hiyo CV Kwa sababu yeye amezoea za kupewa burebure na hajawahi kufuatilia CV za watu wengine kama waziri wa afya afrika kusini au rwanda.professor Gani hajawahi kuvumbua hata chanjo yeyote
HASWAAA MAMA ANATOSHA MITANO TENAMajina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya.
Profesa amekua mtafiti mkuu wa majaribio ya chanjo ya VVU (HIV Trial vaccine), Amehudumu kama daktari bingwa hospitali ya taifa Muhimbili, Amekua country director wa Madaktari Afrika, amekua Daktari Binafsi wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete tangu mwaka 2005 mpaka sasa, amekua Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) tangu mwaka 2014 mpaka mwaka 2022, amekua Mkurugenzi Mtendaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) tangu Oktoba 2022 mpaka sasa na juzi ameteuliwa kama mshauri wa raisi katika masuala ya afya.
Profesa alipata shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu mwaka 1989 kutoka Kharkov Medical Institute huko Ukraine, Kisha masters ya Tropical Medicine mwaka 1994 kutoka chuo kikuu cha Queensland, Australia na baadae PhD ya Cardiology (magonjwa ya moyo) akiwa nchini Japan katika chuo kikuu cha Osaka ambako pia hapo hapo aliongeza Postdoctoral Fellowship ya Cardiology (magonjwa ya moyo).
Ni Profesa wa magonjwa ya moyo tangu mwaka 2003, mpaka sasa ni Mwenyekiti wa bodi ya THPS tangu 2022, mjumbe wa bodi ya chuo kikuu cha afya Muhimbili tangu 2022, Mjumbe wa bodi ya JKCI tangu 2022, mjumbe wa bodi SUA tangu mwaka 2016, mlezi wa Taasis ya lishe na kisukari Tanzania, mjumbe wa baraza la madaktari Tanzania, mjumbe wa TPHA, mjumbe wa Royal society of tropical medicine and hygiene, mjumbe wa Japanese society of vascular medicine, mjumbe wa American Heart Association na Mjumbe wa Japanese society of echocardiography
Profesa amepata tuzo za heshima kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), American College of Cardiology (FACC) lakini pia ni mwanachama wa Kudumu wa Medical University of South Carolina, Marekani. Profesa Janabi ameanzisha na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na mashirika makubwa kama Mending Kids (USA), Open Heart International (Australia), Save the Child's Heart (Israel), Sharjah Children’s Charity (UAE).
Profesa anaongea lugha 4 ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kijapan na Kirusi.
Profesa ameshiriki kwenye utafiti na kuandika scientific papers zaidi ya 77.
Andiko hili nimelikopi mahali na kuwaleteeni hapa na siyo andiko langu Binafsi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa wewe .kwani wangapi wamevumbua chanjo.Hiyo ni CV ya kawaida tu.sema ti Samia amekoshwa na hiyo CV Kwa sababu yeye amezoea za kupewa burebure na hajawahi kufuatilia CV za watu wengine kama waziri wa afya afrika kusini au rwanda.professor Gani hajawahi kuvumbua hata chanjo yeyote
Ni kweli ametulia na hana fujo na mtu, lakini suala la kutibu moyo wa mama yetu kipenzi, HAPANA. Hajui, hawezi na hapaswi.kivipi hana ?? sisi tuliyesoma naye huko majuu tunamjua ni mtu aliyetulia na hana fujo na mtu
Mama ataendelea kulindwa na Mwenyezi Mungu na ataendelea kuwa salama na Mwenye afya njema mpaka atakapomaliza muhula wake wa uongozi hapo 2030Ni kweli ametulia na hana fujo na mtu, lakini suala la kutibu moyo wa mama yetu kipenzi, HAPANA. Hajui, hawezi na hapaswi.
Aisome Zanzibar-ASPMajina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya.
Profesa amekua mtafiti mkuu wa majaribio ya chanjo ya VVU (HIV Trial vaccine), Amehudumu kama daktari bingwa hospitali ya taifa Muhimbili, Amekua country director wa Madaktari Afrika, amekua Daktari Binafsi wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete tangu mwaka 2005 mpaka sasa, amekua Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) tangu mwaka 2014 mpaka mwaka 2022, amekua Mkurugenzi Mtendaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) tangu Oktoba 2022 mpaka sasa na juzi ameteuliwa kama mshauri wa raisi katika masuala ya afya.
Profesa alipata shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu mwaka 1989 kutoka Kharkov Medical Institute huko Ukraine, Kisha masters ya Tropical Medicine mwaka 1994 kutoka chuo kikuu cha Queensland, Australia na baadae PhD ya Cardiology (magonjwa ya moyo) akiwa nchini Japan katika chuo kikuu cha Osaka ambako pia hapo hapo aliongeza Postdoctoral Fellowship ya Cardiology (magonjwa ya moyo).
Ni Profesa wa magonjwa ya moyo tangu mwaka 2003, mpaka sasa ni Mwenyekiti wa bodi ya THPS tangu 2022, mjumbe wa bodi ya chuo kikuu cha afya Muhimbili tangu 2022, Mjumbe wa bodi ya JKCI tangu 2022, mjumbe wa bodi SUA tangu mwaka 2016, mlezi wa Taasis ya lishe na kisukari Tanzania, mjumbe wa baraza la madaktari Tanzania, mjumbe wa TPHA, mjumbe wa Royal society of tropical medicine and hygiene, mjumbe wa Japanese society of vascular medicine, mjumbe wa American Heart Association na Mjumbe wa Japanese society of echocardiography
Profesa amepata tuzo za heshima kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), American College of Cardiology (FACC) lakini pia ni mwanachama wa Kudumu wa Medical University of South Carolina, Marekani. Profesa Janabi ameanzisha na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na mashirika makubwa kama Mending Kids (USA), Open Heart International (Australia), Save the Child's Heart (Israel), Sharjah Children’s Charity (UAE).
Profesa anaongea lugha 4 ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kijapan na Kirusi.
Profesa ameshiriki kwenye utafiti na kuandika scientific papers zaidi ya 77.
Andiko hili nimelikopi mahali na kuwaleteeni hapa na siyo andiko langu Binafsi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kweli ametulia na hana fujo na mtu, lakini suala la kutibu moyo wa mama yetu kipenzi, HAPANA. Hajui, hawezi na hapaswi.
😂😂😂😂😂Unavyomsifia mpaka mke wake anacheka 😄
Ova
Umekaa na mke wake ukaona anavyocheka.Unavyomsifia mpaka mke wake anacheka 😄
Ova
Sofia yule mnyiramba mbona swahiba wangu sanaUmekaa na mke wake ukaona anavyocheka.
Watanzania siyo wajinga wanajua kwanini anapewa promo kwasasa. Kuna kazi alitumwa na aliifanya. Time will tell. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaMajina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya.
Profesa amekua mtafiti mkuu wa majaribio ya chanjo ya VVU (HIV Trial vaccine), Amehudumu kama daktari bingwa hospitali ya taifa Muhimbili, Amekua country director wa Madaktari Afrika, amekua Daktari Binafsi wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete tangu mwaka 2005 mpaka sasa, amekua Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) tangu mwaka 2014 mpaka mwaka 2022, amekua Mkurugenzi Mtendaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) tangu Oktoba 2022 mpaka sasa na juzi ameteuliwa kama mshauri wa raisi katika masuala ya afya.
Profesa alipata shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu mwaka 1989 kutoka Kharkov Medical Institute huko Ukraine, Kisha masters ya Tropical Medicine mwaka 1994 kutoka chuo kikuu cha Queensland, Australia na baadae PhD ya Cardiology (magonjwa ya moyo) akiwa nchini Japan katika chuo kikuu cha Osaka ambako pia hapo hapo aliongeza Postdoctoral Fellowship ya Cardiology (magonjwa ya moyo).
Ni Profesa wa magonjwa ya moyo tangu mwaka 2003, mpaka sasa ni Mwenyekiti wa bodi ya THPS tangu 2022, mjumbe wa bodi ya chuo kikuu cha afya Muhimbili tangu 2022, Mjumbe wa bodi ya JKCI tangu 2022, mjumbe wa bodi SUA tangu mwaka 2016, mlezi wa Taasis ya lishe na kisukari Tanzania, mjumbe wa baraza la madaktari Tanzania, mjumbe wa TPHA, mjumbe wa Royal society of tropical medicine and hygiene, mjumbe wa Japanese society of vascular medicine, mjumbe wa American Heart Association na Mjumbe wa Japanese society of echocardiography
Profesa amepata tuzo za heshima kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), American College of Cardiology (FACC) lakini pia ni mwanachama wa Kudumu wa Medical University of South Carolina, Marekani. Profesa Janabi ameanzisha na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na mashirika makubwa kama Mending Kids (USA), Open Heart International (Australia), Save the Child's Heart (Israel), Sharjah Children’s Charity (UAE).
Profesa anaongea lugha 4 ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kijapan na Kirusi.
Profesa ameshiriki kwenye utafiti na kuandika scientific papers zaidi ya 77.
Andiko hili nimelikopi mahali na kuwaleteeni hapa na siyo andiko langu Binafsi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa weweWatanzania siyo wajinga wanajua kwanini anapewa promo kwasasa. Kuna kazi alitumwa na aliifanya. Time will tell. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
haa haa amekuwa Mwashambwa etyJANABI atakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha
Mkuu hiyo ndiyo CV ya Dr Janabi Kwa mujibu wa MCTMajina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya.