Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nachukua fursa hii kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kushiriki katika mashindano haya, kuishukuru Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Miss Tanzania na pia kuwashukuru wapenzi na mashabiki wa maswala ya urembo,hususan wakazi wa jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi,na pia kuwashukuru wote waliyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nakuja mpaka Mwanza kuja kushuhudia fainali za Miss Tanzania 2016 ambazo kwa mara ya kwanza zilifanyika jijini hapa mnamo tarehe 29.10.2016 nakuandika historia katika mashindano hayo.
Baada ya kusema hayo machache nataka kutoa ufafanuzi katika mambo mengi yaliyozungumzwa na kuwaacha wengi na sintofahamu:- JINA
Diana Edward Loi Lukumay
KABILA
Mmasai
UMRI
Miaka 18 nilizaliwa 01.06.1998 Hospitali ya Mount Meru Arusha,mtoto wa tatu katika familia ya watoto wanne.
ELIMU
Shule ya msingi ya serikali ya Levolosi Mwaka 2005-2011
Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Serikali Arusha Mwaka 2012-2015
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ni daraja la pili
Nilichaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano mchepuo wa Sanaa kwenda shule ya Wasichana ya Bwiru iliyopo jijini Mwanza,lakini kwakuwa nilikuwa tayari nipo katika tasnia hii ya urembo niliamua kuto jiunga na masomo hayo kwakuwa tayari yalikuwa yameingiliana na ratiba za mashindano haya katika ngazi ya vitongoji,ambapo nilijiunga na Kambi ya Miss Ubungo 2016/2017 ambapo nilishika nafasi ya tatu nakutunukiwa taji la Miss mwenye kipaji (Ubungo Miss Talent 2016/2017). Baada ya kuahirisha masomo ya kidato cha tano niliomba kujiunga na masomo ngazi ya cheti kozi ya maswala ya kodi katika Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM) ambapo mpaka masomo yanaanza mwanzoni mwa mwezi wa oktoba tayari nilikuwa kwenye kambi ya Miss Tanzania. Mafanikio ambayo niliyapata baada ya kuibuka mshindi nakutangazwa kuwa Lete Raha Miss Kinondoni 2016/2017,mashindano yaliyokutanisha warembo kutoka vitongoji vitatu vya kimashindano ndani ya kanda ya kinondoni ambavyo ni Ubungo,Sinza na Indian Ocean.
Juhudi zangu hazikuishia hapo,nilipotangazwa mshindi sikubweteka na taji hilo la Miss Kinondoni bali niliendelea na kazi zangu za kijamii katika jamii yangu ya kimasai
source instagram page yake.