Wasifu sahihi wa Diana Edward Lukumay, Miss Tanzania 2016

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Nachukua fursa hii kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kushiriki katika mashindano haya, kuishukuru Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Miss Tanzania na pia kuwashukuru wapenzi na mashabiki wa maswala ya urembo,hususan wakazi wa jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi,na pia kuwashukuru wote waliyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nakuja mpaka Mwanza kuja kushuhudia fainali za Miss Tanzania 2016 ambazo kwa mara ya kwanza zilifanyika jijini hapa mnamo tarehe 29.10.2016 nakuandika historia katika mashindano hayo.

Baada ya kusema hayo machache nataka kutoa ufafanuzi katika mambo mengi yaliyozungumzwa na kuwaacha wengi na sintofahamu:- JINA
Diana Edward Loi Lukumay
KABILA
Mmasai
UMRI
Miaka 18 nilizaliwa 01.06.1998 Hospitali ya Mount Meru Arusha,mtoto wa tatu katika familia ya watoto wanne.

ELIMU

Shule ya msingi ya serikali ya Levolosi Mwaka 2005-2011

Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Serikali Arusha Mwaka 2012-2015

Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ni daraja la pili

Nilichaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano mchepuo wa Sanaa kwenda shule ya Wasichana ya Bwiru iliyopo jijini Mwanza,lakini kwakuwa nilikuwa tayari nipo katika tasnia hii ya urembo niliamua kuto jiunga na masomo hayo kwakuwa tayari yalikuwa yameingiliana na ratiba za mashindano haya katika ngazi ya vitongoji,ambapo nilijiunga na Kambi ya Miss Ubungo 2016/2017 ambapo nilishika nafasi ya tatu nakutunukiwa taji la Miss mwenye kipaji (Ubungo Miss Talent 2016/2017). Baada ya kuahirisha masomo ya kidato cha tano niliomba kujiunga na masomo ngazi ya cheti kozi ya maswala ya kodi katika Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM) ambapo mpaka masomo yanaanza mwanzoni mwa mwezi wa oktoba tayari nilikuwa kwenye kambi ya Miss Tanzania. Mafanikio ambayo niliyapata baada ya kuibuka mshindi nakutangazwa kuwa Lete Raha Miss Kinondoni 2016/2017,mashindano yaliyokutanisha warembo kutoka vitongoji vitatu vya kimashindano ndani ya kanda ya kinondoni ambavyo ni Ubungo,Sinza na Indian Ocean.

Juhudi zangu hazikuishia hapo,nilipotangazwa mshindi sikubweteka na taji hilo la Miss Kinondoni bali niliendelea na kazi zangu za kijamii katika jamii yangu ya kimasai
source instagram page yake.
 
mmh kuna watu watataka picha za vyeti
running.png
 
Hongera dada yangu....natamani angalau nione hata picha yako! coZ sijawai kukuona..so Sio mbaya ukini-pm.
 
Nadhani huko tuendako hawa kina Lundenga wajiongeze, waache kuendesha mashindano haya kwa mazoea, wazidishe weledi, wawe wawazi zaidi, watoe profile za washindani wao katika hatua zote za mashindano ili kuondosha hizi sintofahamu zinazojitokeza mara tu baada ya mshindi kutangazwa jambo ambalo linawasababishia warembo wetu usumbufu na msongo wa mawazo pale wanapozishiwa mambo mabaya ama na wapinzani wao au watu wengine tu wasiowatakia mema! Uwazi zaidi utaongeza ufanisi na kupunguza majungu.na fitina. Congratulations Diana Loi Ole'Lukumay
 
Nachukua fursa hii kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kushiriki katika mashindano haya, kuishukuru Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Miss Tanzania na pia kuwashukuru wapenzi na mashabiki wa maswala ya urembo,hususan wakazi wa jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi,na pia kuwashukuru wote waliyosafiri kutoka sehemu mbalimbali nakuja mpaka Mwanza kuja kushuhudia fainali za Miss Tanzania 2016 ambazo kwa mara ya kwanza zilifanyika jijini hapa mnamo tarehe 29.10.2016 nakuandika historia katika mashindano hayo.

Baada ya kusema hayo machache nataka kutoa ufafanuzi katika mambo mengi yaliyozungumzwa na kuwaacha wengi na sintofahamu:- JINA
Diana Edward Loi Lukumay
KABILA
Mmasai
UMRI
Miaka 18 nilizaliwa 01.06.1998 Hospitali ya Mount Meru Arusha,mtoto wa tatu katika familia ya watoto wanne.

ELIMU

Shule ya msingi ya serikali ya Levolosi Mwaka 2005-2011

Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Serikali Arusha Mwaka 2012-2015

Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ni daraja la pili

Nilichaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano mchepuo wa Sanaa kwenda shule ya Wasichana ya Bwiru iliyopo jijini Mwanza,lakini kwakuwa nilikuwa tayari nipo katika tasnia hii ya urembo niliamua kuto jiunga na masomo hayo kwakuwa tayari yalikuwa yameingiliana na ratiba za mashindano haya katika ngazi ya vitongoji,ambapo nilijiunga na Kambi ya Miss Ubungo 2016/2017 ambapo nilishika nafasi ya tatu nakutunukiwa taji la Miss mwenye kipaji (Ubungo Miss Talent 2016/2017). Baada ya kuahirisha masomo ya kidato cha tano niliomba kujiunga na masomo ngazi ya cheti kozi ya maswala ya kodi katika Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM) ambapo mpaka masomo yanaanza mwanzoni mwa mwezi wa oktoba tayari nilikuwa kwenye kambi ya Miss Tanzania. Mafanikio ambayo niliyapata baada ya kuibuka mshindi nakutangazwa kuwa Lete Raha Miss Kinondoni 2016/2017,mashindano yaliyokutanisha warembo kutoka vitongoji vitatu vya kimashindano ndani ya kanda ya kinondoni ambavyo ni Ubungo,Sinza na Indian Ocean.

Juhudi zangu hazikuishia hapo,nilipotangazwa mshindi sikubweteka na taji hilo la Miss Kinondoni bali niliendelea na kazi zangu za kijamii katika jamii yangu ya kimasai
source instagram page yake.
kwa hyo o umeamua usiendelee na masomo kwa ajili ya u miss?unaijua kesho?unajua utaamkaje kesho?sikuombeei ukipata ajali leo ukawa na sura kama lapembe utategemea nn?shauri yako,umeuona mwisho wa kina sepenga?
 
🙁🙁🙁
 
Wabongo fitna, majungu, kiherehere na husda, watu wakipata taarifa kwenye magroup huko anakimbilia kuforwad kwanza bila hata kujiuliza.
huu uzi umeshawekwa toka asubuhi naona mtoa mada sijui hajui maana ushajadiliwa tayari
 
Miss Natafuta D anatumia jina gani instagram nataka ni mfollow..
 
Ahaaaaaaa! Kwa hiyo haya mashindano yanashirikisha watoto mana kianza kucheza urembo kakiwa na miaka 17.......
Kosa la pili hili, hututakuacha
 
Mhhhh haya mashindano yamejaa uongo uongo tu, miss wetu matokeo yake yanaonesha alipata dvn 4 ya 30 alafu yeye anadai kapata dalaja la pili, na hakuna familia tanzania ambayo eti mtoto wao wa kike anafaulu alafu anakataa kwenda shule kisa umiss na wakakubali
 
....dalili za uchoko hizi!..we unazijua familia zote za Tanzania?
..na hayo matokeo unayoyazungumzia wewe ni ya shule aliyosema mwenyewe kasoma?
.muwasho ukizidi,kalia gunzi!
 
Vipi ndugu mbona povu limekutoka sana kulikoni? Au we ndio yule bwana wake ambae naskia anakuweka mjini? Demu anatoka na mizee huko alafu eti wewe ndo unapatiepo pa kuvaa na kula
 
Back
Top Bottom