Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

Jiwe alifanya kosa kubwa kuanza kwaruzana na wapinzani, angeenda nao taratibu na kuwasikiliza hakika 2020 angepita bila kikwazo, badala yake akadhani wapinzani ndio adui zake kumbe wako nyumbani kwake....
Sio wapinzani tu kavuruga mishe za watu ndo hao wanataka atoke arudi mtoto wa pwani
 
Hahahaha
 
Mwenye CV ya Mwenyekiti wa CHAMA aitupie hapa jamani mbona hii CV ya Membe inatisha?
Kweli Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa makni kuandaa vijana wake......Membe ni ZAO la Mwalimu hakuna UBISHI.
Mwenyekiti wa chawa baada ya six form ilibidi ashike chaki kwanza credit za USDM straight zilikohoa koho koho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…