Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

"1990 – 1992: Alipata Stashada ya Uchumi, Mahusiano ya Kimataifa na Sheria za Kimataifa (Masters- Economics, International Relations and International Law)"

Hivi STASHAHADA ndio Master kwa KIINGEREZA???
 
Yaani watu wanatoka upinzani ndio wanaopewa vyeo kwenye chama, tena watoto wadogo tu.
Sisi tuliojitolea kukipigania chama kwa miaka mingi katika jua na mvua, hali na shari, masika na kiangazi, tunabaki kupangusa vumbi tu na kupiga makofi.
Nasema imekwisha, Baba tunaziweka roho zetu mikononi mwako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Duuh!
 
Back
Top Bottom