Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Mwenyezi mungu aendelee kumjaza ujasiri busara na maarifa katika kulitumikia taifa letu!!
 
Kama sefue Huyu jamaa Nyoka kweli kila akitokea kwenye TV'S Nazima TV anajifanya kumushangaa mrisho kwa kila kitu wakati yeye ndiyo aliachiwa Ikulu wakati mzee wa msoga yuko safarini. Mhe pombe huyo jamaa ni hatari sana mpe kazi nyingine weka katibu mkuu wako McHale kazi. Huyu jamaa majungu tu na kujaza wapare kila sehemu. Anzia makatibu waku wako wa tano mabalozi ndo wapare lukuki
 
 
Ana PhD ya Uchumi. Kabla ya kufanya kazi World Bank Tanzania alikuwa Mhadhiri wa Uchumi UDSM. Baada ya kutoka WB akateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla ya kuwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango. Ni mzaliwa wa Kigoma.
Kuuliza sio ujinga, SSH na Majaliwa wanazo PhD?
 
Ataziacha tabia za Jiwe za ajabuajabu alizofundishwa na Jiwe za kupika takwimu za ukusanyaji mapato ya serikali.
 
Kumbe ni product ya seminary, ndiyo maana ana kiwango kikubwa cha discipline katika utendaji wake wa kazi.
 
Sijui kama hatakuwa na tabia zile za kinafiki za watu wa kigoma.vinginevyo kwa unafiki walionao watu wa kigoma tuhesabu kuumia tu sababu ni watu wenye wivu,chuki na maroho mabaya ya kirundi.Tuombe Mungu.
 
Tumuombee kila lililo na heri

TUTAMUOMBEA LAKINI YEYE NA RAIS Samia Suluhu HASSAN NI LAZIMA WALINDE AFYA ZAO KWANZA NCHI INAWAHITAJI SANA WAKATI HUU. SASA HIVI SIO WAKATI WA KUPIGA RAMLI JUU YA CORONA. FANYENI MAAMUZI NYIE MUWE WA KWANZA KUPATA CHANJO HALAFU SISI TUTAFUATA.
 
Ameolewa na masai tena
 
Ameolewa na masai tena
 
Hata yule Kakoko wa Bandarini ni wa Kigoma? Naona jina lake linasadifu Kigoma Kigoma vile
 
Wapo waliokuwa wakimuona Dk. Mpango kama Waziri wa Fedha. Leo wapo watakaomuona kama Makamu wa Rais.

Binafsi namchukulia kama jirani yangu wa kawaida hapa Chanika. Mpango ana tabia au kawaida ya kwenda mwenyewe buchani kununua nyama siku za wikiendi.

Anayemuuzia nyama Hassan Mohamed anasema: "huyu ni mteja wangu lakini huwa nashangaa kilo zake za nyama ni tatu tu kila Jumamosi. Kisha ananunua nyanya, vitunguu, viungo kwa ujumla anaondoka na anaendesha mwenyewe". Anaongeza, "hata siamini kama ni Waziri na sasa Makamu wa Rais".

Huyo ndiye Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…