Unafikiri watu wenye sura kama ya kwako wanaweza kutafakari zaidi ya hapo ulipoishia? Sura kama hilzo kazi yake ni kuwapagawisha less minded kama akina Lema ili wajione wako juu ya dunia.
Mzee wangu sasa ndio naelewa kwanini kila unachoanzisha kinafanikiwa! Wazee wa umri wako wanaopita kwenye mitandao kama JF ni almost zero percent!! Tunajivunia uwepo wako hapa! Kuhusu Lema elimu aliyonayo inatosha kuwatumikia wananchi maana kule Lema haendi kufanya tafiti za kitaaluma.kazi za mbunge ziko wazi sasa madegree ya nini na kuna Phd ngapi bungeni(akiwemo Nchimbi) na zinafaida gani zaidi ya kuunga mkono hata hoja za kipu.uzi madam imetokea CCM?Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.
Niongeze kwa taarifa kwa wanaJF, kwamba mwanasiasa maarufu sana wa Kiingereza, Winston Churchill, elimu yake rasmi iliishia tu Sekondari katika Shule ya Harrow.
Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.

Mzee Mtei,
Nadhani hakuna ubaya wowote kuhoji elimu ya viongozi wetu unachasema ni kweli hata hapa Tanzania Prof Maji Marefu, mbunge wa Korogwe pamoja na mbunge wa Mtera Livingstone Lushinde, hawa wote ni wahitimu wa kidatu cha saba.
Kwa hiyo sio kama kweli watu wanamshambulia Lema, kutokana na elimu yake ndogo ni changamoto tu za uongozi.
Ukiamua kuwatumikia wananchi lazima watataka kujua elimu ya kiongozi wao.
sasa kama elimu ya Lema siyo hiyo unatakaje. Avuliwe ubunge?kina sendeka wana elimu gani? Wananchi wa jimbo lake wameona anafaa kuwatumikia thus final! Kelele unazopiga hazitasaidia go and sip glass of water for ralaxation
Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.
Niongeze kwa taarifa kwa wanaJF, kwamba mwanasiasa maarufu sana wa Kiingereza, Winston Churchill, elimu yake rasmi iliishia tu Sekondari katika Shule ya Harrow.
sasa kama elimu ya Lema siyo hiyo unatakaje. Avuliwe ubunge?kina sendeka wana elimu gani? Wananchi wa jimbo lake wameona anafaa kuwatumikia thus final! Kelele unazopiga hazitasaidia go and sip glass of water for ralaxation
Linapokuja swala la kugusa elimu zao watu wanakuwa wakali sana hehehe
Lema ni graduate wa Street University!
kwa hiyo?