Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na elimu yako ya memkwa unapata wapi ujasiri huu?Cv nyepesi kabisa hii
Memkwa mbali Sana,Wewe na elimu yako ya memkwa unapata wapi ujasiri huu?
Nyepesi ukiilinganisha na ya nani?Cv nyepesi kabisa hii
Mchukueni Bashite yupo joblessCv nyepesi kabisa hii
Nimemuelewa jamaa aliposema CV ni nyepesi kwa hoja moja, mleta uzi "ametishia" kwa kuaminisha kuwa bwana C.E.O amefanya kazi katika makampuni mbali mbali na mabenki ya ndani na nje, katika kuorodhesha hizo bank zote ni zetu hapa hapa.Ebu wekapo yako mkuu
Kajula ni mbobevu wa masuala ya Masoko na Mawasiliano na amaefanya kazi na Makampuni mbalimbali na mabenki ndani ya nje ya nchi✍️
Miongoni mwa kazi alizofanya mpaka sasa✍️
-Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013)✍️
-Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta(2003-2006)✍️
-Meneja Masoko wa CRDB(1999-2003
Ina maana Mudi ameshaandaa safu yake ya viongozi anaowataka ?Hili jambo limefanyika ki mkakati sana.
Kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya KLABU.
Mwamedi ni Mjanja sana.
AliepitaNyepesi ukiilinganisha na ya nani?
Ha ha ha...[emoji4]Mchukueni Bashite yupo jobless
Mlikuwa mnatafuta CEO au shabiki?Yan hapo tumepigwa huyo ni pandikizi kutoka uto tujiandae kuumia tu
CEO wa Yanga huwa anacheza number ngapi uwanjani?Sawa mkuu, pamoja na CV hiyo huyu Bwaa mkubwa atachacheza namba ngapi pale Simba ili ichukue makombe naomba kufahamu.
Kwa hiyo wangemuajiri Zamoyoni Mogela? Jamani kama hamjui majukumu ya CEO mnyamaze kimyaNgoja kwanza
Simba hawakuona haja ya kuwa na mtu ambaye ni mbobezi kwenye masuala ya mpira zaidi?
JF ina wajinga wajuaji. Ona huyu, anadhani Kajula ni mchezaji kwa hiyo apewe miaka. Huo ni muda wa matazamio uki perform unaongezewa. Simba ina strategic plan, kinachotafutwa ni mtu wa kuitekeleza.Yani simba imekua kama duka la reja reja, huyu nae kapewa mkataba wa miezi sita?
Binafsi huwa sioni kazi ya hawa jamaa. Simba wana tatzo la kuwa na wachezaji wa kawaida, badala la kusajili wachezaji makini wao wana deal na vitu vya hovyo hovyo tuIMANI KAJULA NDIYE CEO WETU MPYA
uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) kwa mkataba wa miezi sita[emoji3578]
Kajula anachukua nafasi iliyoachwa na Barbara Gonzalez ambaye alijiuzulu nafasi hiyo Desemba 10/2022[emoji3578]
Kajula ni Mzoefu kwenye msuala ya uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye kamati ya Maandalizi Michuano ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyofanyika nchini mwaka 2019[emoji3578]
Kabla ya kujiunga nasi kajula alikuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya EAG Group tangu 2013 mpaka sasa[emoji3578]
Kajula ni mbobevu wa masuala ya Masoko na Mawasiliano na amaefanya kazi na Makampuni mbalimbali na mabenki ndani ya nje ya nchi[emoji3578]
Miongoni mwa kazi alizofanya mpaka sasa[emoji3578]
-Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013)[emoji3578]
-Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta(2003-2006)[emoji3578]
-Meneja Masoko wa CRDB(1999-2003)[emoji3578]
Akiwa EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya Maandalizi ya Wiki Ya Simba Mpaka kilele chake (Simba Day) ambapo Kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya Klabu[emoji123]
Kama Ni kweli basi tumekwishaKarudisha kadi ya Yanga?