Moja ya vitu nivichukiavyo ktk hii nchi ni USIRI USIO NA MAANA juu ya Historia ya viongozi pamoja na nchi.
Mfano majaribio ya kumpindua Hayati Nyerere mpaka sasa hakuna kumbukumbu nzuri zozote zile za kueleweka na wala husikii haya mambo yakifundishwa mashuleni, ila tunasoma historia za akina Shaka Zulu, Ngoni Migration n.k
Ni aibu kubwa saaana kutokujua TANU imeanzia wapi na ilikuaje.
Ngoja niishie hapa.