Lakini kitabu cha Sykes inaonesha ulilenga kufafanua mchango wa WAISLAM, si ndiyo mzee wangu? Wakristo je...?Marashi,
Hapana haja ya hayo.
Mimi nimeandika historia ya uhuru kama nilivyojua ndani ya nyumba yetu na kutoka katika utafiti.
Hii inatosha
naishi karibu na msikiti wa mtoro, naomba list vitabu(reccomended) kama vitatu ambavyo unanishauri nivisomeFogohz,
Maduka ya vitabu Ibn Hazm Msikiti wa Mtambani, Manyema na Mtoro
Fogoh2,naishi karibu na msikiti wa mtoro, naomba list vitabu(reccomended) kama vitatu ambavyo unanishauri nivisome
Marashi,Lakini kitabu cha Sykes inaonesha ulilenga kufafanua mchango wa WAISLAM, si ndiyo mzee wangu? Wakristo je...?
Cash,Ningependa kufahamu ilikuwaje Nyerere akakutana na hao wazee wa dar?
Na hao wazee nini kiliwafanya wakamuamini kijana mdogo Nyerere wakampokea na kumpa uongozi wa Tanu?
Kwanini hao wazee hawakutaka madaraka ya kuongoza nchi kama marais wakapokezana kijiti na nyerere?