Wasifu wa kocha mkuu mpya wa taifa stars Emmanuel Amunike

Hivi hakuna mtanzania anayeweza kufundisha timu yetu ya Taifa? huyo mwalimu atawafundisha kwa lugha gani?
 
Hivi hakuna mtanzania anayeweza kufundisha timu yetu ya Taifa? huyo mwalimu atawafundisha kwa lugha gani?
Aliyetoka ni Salum Mayanga,mtanzania naye alichukua nafasi ya Boniface Mkwasa mtanzania ,au ulitaka mtanzania yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…