Kweli wabongo hatuna dogo, amsalimie nani vile? Mbavuu zangu mieMmh! Sura yake sasa.
Anyway Amsalimiye Mizengo Pjnda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wabongo hatuna dogo, amsalimie nani vile? Mbavuu zangu mieMmh! Sura yake sasa.
Anyway Amsalimiye Mizengo Pjnda
sasa kuna timu ya kufanikiwa hapa?wewe unataka uzee au timu ifundishwe na ifanikiwe?
hahaaaaaaaaaaaNdio yale yale ya Taribo West kupunguza miaka 25 kwenye vyeti vyake.
Aliyetoka ni Salum Mayanga,mtanzania naye alichukua nafasi ya Boniface Mkwasa mtanzania ,au ulitaka mtanzania yupi?Hivi hakuna mtanzania anayeweza kufundisha timu yetu ya Taifa? huyo mwalimu atawafundisha kwa lugha gani?
wasiwasi wa gu ni kuelewana Lugha.Aliyetoka ni Salum Mayanga,mtanzania naye alichukua nafasi ya Boniface Mkwasa mtanzania ,au ulitaka mtanzania yupi?
hiyo hiyo taifa starssasa kuna timu ya kufanikiwa hapa?