Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.

CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli utabaki hivyo.

Je, huu ni wivu wa kisiasa wa CCM dhidi ya CHADEMA?
 
Wasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Hiyo ndio sayansi ya siasa 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Siyo kila kitu kinaandikwa kwenye wasifu.
Wanafamilia huwa wana uhuru wa kuandika mambo/matukio wanayoyaona yanafaa.
 
Hiyo ndio sayansi ya siasa 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL

Yaani Mimi hata wakiruka huo ukweli mchungu kwangu naona poa sana, maana cdm walibug kwa kumpa nafasi huyo fisadi. Hapo ndio Mbowe ajue Yale maridhiano aliyokuwa anajibebisha nayo ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
wait,
chairman F.A.M is speaking 🐒

R I P laigwanani comrade ENL
 
‘Huwezi kuandika historia ya maisha ya mh Lowasa ukaacha neno CHADEMA itakuwa ni kujidanganya tu’by Freeman Mbowe
 
Back
Top Bottom