lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
✔️Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.
CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli utabaki hivyo.
Je, huu ni wivu wa kisiasa wa CCM dhidi ya CHADEMA?
Kuna baadhi ya watu hua wanaamini kua Watanzania ni watu wajinga sana.
Lakini Mimi Niko kinyume nao.
Ukweli ni kwamba ,Watanzania wan akili mno.
Haya wanayaona na kuyasikia,yanaongeza chuki na yanakera.kadri yanavyokua mengi ndivyo hasira zinyokua kubwa.
Watanzania walishaamua miaka mingi sana ila sema mfumo ndio hautaki.
Kuna siku kosa dogo TU litafanyika ,na ndio utakua mwisho.
Hiyo ni nature.