Andika vizuri mboni unaandika kishabiki?Wasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Sasa Si angeandika hivyo kuliko alivyoandika haelewekiAnachomaanisha mtoa mada ni kwamba,Kwenye wasifu wa Lowasa uliosomwa kwenye mazishi,Hawajasema kama Lowasa aliwahi kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Kuwa wa kwanza ku-post JFIvi huwa mnawah wap??
Hiyo ndio sayansi ya siasa 🐒Wasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Ccm wana visa kweli kweliWamekosea sijajua sababu ya kutofanya hivyo
Mi siongeiWasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Umesndika nini?Ulichoshindwa kuelewa ni nini, nimesndika kilichosemwa.
Wajinga mpo wengi sanaWasifu wa Edward Lowasa umetatua madai kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema hivyo madai kuwa akina Nape waliwahi kimkashifu na kumdhihaki ni batili.
Hiyo ndio sayansi ya siasa 🐒
R.I.P Laigwanani comrade ENL
wait,Yaani Mimi hata wakiruka huo ukweli mchungu kwangu naona poa sana, maana cdm walibug kwa kumpa nafasi huyo fisadi. Hapo ndio Mbowe ajue Yale maridhiano aliyokuwa anajibebisha nayo ni utapeli kama utapeli mwingine.